Sewersydaa – Seasaw Lyrics ft. Katapilla & Sudough
Check out “Seasaw” lyrics by Sewersydaa featuring Katapilla & Sudough on Kelxfy. “Seasaw” is off Sewersydaa’s new album, “Mauru Unit”.
Seasaw Lyrics
Toboa hio shimo vizuri
Usikuje kushukisha na njugu zangu, uh
Streets tunavaa ma gumboots
Chochee tunapitia Mungu wangu uh
Kuwasha torch huku ni kaa taboo, okay
Aya bas, ushaipatana na vijana wa K-South
Wakakuingia ma-bamboo
Donkey haziko Lamu pekee
Angalia watu tunapeleka kwa parliament
Kaa ni ma-leader hatunanga taste
Wrong wrong tukifinyanga next
Heist inapigwa kwa blackout
Men backup zinashindwa ku-generate
Empty vase inalia sana
Hasira ni ya mtu ana-stammer
Hey Dj unamiss jaba
Halima ameshinda akinidara
Ndranya aliuzisha mzae shamba
Wife alipatia stapa mrenga
Mnduli anajua kulegeza kamba
Msape atakumada juu ya pesa
[Sudough]
So bad how we’ve been up and down
Rocking the seasaw
Fat bass out here mnaiskia hot sound
Breaking your window
They say that sound viboko
They surely know zetu ndio fimbo
Same direction as the wind goes
Leading the people
Same direction as the wind goes
Leading the people
So bad how we’ve been up and down
Rocking the seasaw
Fat bass out here mnaiskia hot sound
Breaking your window
They say that sound viboko
They surely know zetu ndio fimbo
Same direction as the wind goes
Leading the people
Same direction as the wind goes
Leading the people
[Katapilla]
Yeah, hand off the pack woof!
White ka Walter Cook
Must ijipe by the hook or the crook
Yeah! biz ni ya kubuy and sell
First of all kwanza pigia huyo clientele
Ukiniona mitaa niko high as hell
Usiulize natafuta my higher self
Namba nane nazoza na R and R
Surname isome kwa cheque Opara
Dragon nikitema kwa beat ya HR
Wanacheck lines ka VAR, ayy
Ati mi ni msimple, nani?
Toast ka unakula hip-hop money
Next year nachipo Ntalami
Content ya hawa ma Tiktok dummies
Mastripper kwa pole kwa bar
Alafu kwa pori nimejaa
Si leo katanuka masaa, brr-ba, ska pa pa pa
Ka we ni mbleina we getting rid of you—
Got no motive of getting rich
Me am onto the things they never did
Since a rookie they mess with the energy
So tell an enemy, nani unanuna nini
Different vibe yes am back
With the kunda lini nataka paper mabunda mimi
Manager hebu confirm tuna show Ukunda lini