Sewersydaa – Yaye Lyrics ft. Scar Mkadinali
Check out “Yaye” lyrics by Wakadinali members Sewersydaa and Scar Mkadinali on Kelxfy. “Yaye” is off Sewersydaa’s new album, “Mauru Unit”.
Yaye Lyrics
Ya! Ya! Ya! Ya! yaye
Siku hizi niko ma-yeyo
Lifestyle ya ki-yoyo
Tempted to quit my day job
High nikiskiza Raekwon
We unataka kuleta gani hizo?
We unataka kuleta gani hizo?
We unataka kuleta ya-ya-ya-ya
Yaye, siku hizi niko ma-yeyo
Lifestyle ya ki-yoyo
Tempted to quit my day job
High nikiskiza Raekwon
We unataka kuleta gani hizo?
We unataka kuleta gani hizo?
We unataka kuleta ya-ya-ya-ya
Young father ashatoa kitambi
Na bado keja stove haiwaki
Kuna rapper ana kinyambis
Aliacha mic na sai haichapi
Huku hatutaki za kabej
Tuma enough hadi za family
Tabia za kibabi zii
Hatuachangi kitu kwa sahani
Gatekeepers tuliacha kwa mlango
Kila kitu huishaga fashion
Ambia huyo diva asi-twerk hapo
Hatutaki bukla inuke jasho
Mzigo hutoka keja ya kako
Ikifika Eastlands tunazidouble
Nikitaka kuhepa custom
Tax evasion naenda hadi ng’ambo
Yeah man nimetumana
Yolanda anacome in the next hour
Uber nimemchukulia V-Power
Commander in chief wa mawada
Unaeza pata jo bag ya Durban
Lakini hautaipata chini ya bramba
O.D hadi kilimramba
Hii si glucose unalamba
Yaye, siku hizi niko ma-yeyo
Lifestyle ya ki-yoyo
Tempted to quit my day job
High nikiskiza Raekwon
We unataka kuleta gani hizo?
We unataka kuleta gani hizo?
We unataka kuleta ya-ya-ya-ya
Yaye, siku hizi niko ma-yeyo
Lifestyle ya ki-yoyo
Tempted to quit my day job
High nikiskiza Raekwon
We unataka kuleta gani hizo?
We unataka kuleta gani hizo?
We unataka kuleta ya-ya-ya-ya
[Scar]
For real, mayooo
Nyakwaro ganga jo giwalo
Saka sa ahero manyo
Ka chwado gino nyakolayo
I mix fruit juice gi ng’ang’o
I mean nduku dizayo
Bluetooth Mc Bayo
Vako ndio mi hukuwama uende viral
Mbogi inabonga na gestures
Guest anashindwa kuget stuff
Mresh amebeba
I guess ass ilinizuia sikuona hizo red flags
Star again bado gangster
Ukibargain huezi get Scar
Nina burden nabeba rap game
Nina that brain kaa ya Dexter
Kwa biz lazima risk
Arif alidungwa hio kitu ni deep
Si dim bado ni lit
Mi nina cream yeye analick
Mi na mouse hatuezi click
Hata kwa bio hatuezi link
Hio mouth inahitaji mint
Ju ya ngaus mrenga ni tint
Yaye, siku hizi niko ma-yeyo
Lifestyle ya ki-yoyo
Tempted to quit my day job
High nikiskiza Raekwon
We unataka kuleta gani hizo?
We unataka kuleta gani hizo?
We unataka kuleta ya-ya-ya-ya
Yaye, siku hizi niko ma-yeyo
Lifestyle ya ki-yoyo
Tempted to quit my day job
High nikiskiza Raekwon
We unataka kuleta gani hizo?
We unataka kuleta gani hizo?
We unataka kuleta ya-ya-ya-ya