Sewersydaa – My Avi Lyrics
Check out “My Avi” lyrics by Sewersydaa on Kelxfy. “My Avi” is off Sewersydaa’s new album, “Mauru Unit”.
My Avi Lyrics
Yoh! Yoh! yoh! yoh!
Man a Driller in your area
Twenty twenty three, Mauru Unit
Story zetu media hazi kavi
Tapo vile waliingia kwa Matiangi
Waambie hatuziachi
Vitu zingine ngumu kuwacha kama old habits
Usimangiwe ganji
Huyo si mimi ni vile ameweka my avi
Uliamini kairetu sana
Hata after kuambiwa anakaa jambazi
Story zetu media hazi kavi
Tapo vile waliingia kwa Matiangi
Waambie hatuziachi
Vitu zingine ngumu kuwacha kama old habits
Usimangiwe ganji
Huyo si mimi ni vile ameweka my avi
Uliamini kairetu sana
Hata after kuambiwa anakaa jambazi
Wa kwanza kwa scene
Kumbe hata sikuwa nimeenda mahali
Cliff asipo-pick hio call
Napigianga Danstan Omari
Ukichunguza fiti bro
Mi naona kuna a bit of malice
Ndani ya corridor ya Milimani
Kahawa na sukari si Wendani
Kalala anaeza kuwa the Kenyan Harris
Naskia ye haitishangi faris
Gwera kila kitu ndasu mali
For the future sai mi ni mzazi
Chipo fungwa amepiga kambi
Hapana kaa comfy ni kaa tuko married
Choma pedal usishike pedi
Hatutaki watu wanapea watoi candy
Hata 10 bob iko kwa budget
Ambia huyo sanse simpatii ganji
Extortion from watiaji
Na ati wanafanya public service
I wish hata walami wangebaki
Ona saii Kenya iko up for grabbing
Story zetu media hazi kavi
Tapo vile waliingia kwa Matiangi
Waambie hatuziachi
Vitu zingine ngumu kuwacha kama old habits
Usimangiwe ganji
Huyo si mimi ni vile ameweka my avi
Uliamini kairetu sana
Hata after kuambiwa anakaa jambazi
Story zetu media hazi kavi
Tapo vile waliingia kwa Matiangi
Waambie hatuziachi
Vitu zingine ngumu kuwacha kama old habits
Usimangiwe ganji
Huyo si mimi ni vile ameweka my avi
Uliamini kairetu sana
Hata after kuambiwa anakaa jambazi
Nani alikuambia utume pesa
Umetokwa, unateta
Avi alikupatia pressure
Ona sa ulimangwa na hater
Si huskia kesi za mbleina
Tunazirudisha back to sender
News tunaziskianga on mute
Story za media si huzilenga
Avi hadi anakumangia dem
Avi hadi anadai hadi hio fame
Steve Harvey kwa hio frame
Hadi hadi akiwa cell
Huskii unamuoneanga net
Huezi pata meet-up na ye
Hii game ye hujua kuiplay
Atamake sure umefinya send
Freakin’ weekend, windows tinted
Freaky bitches, keep off dickheads
Freakin’ weekend, windows tinted
Freaky bitches, keep off dickheads
Story zetu media hazi kavi
Tapo vile waliingia kwa Matiangi
Waambie hatuziachi
Vitu zingine ngumu kuwacha kama old habits
Usimangiwe ganji
Huyo si mimi ni vile ameweka my avi
Uliamini kairetu sana
Hata after kuambiwa anakaa jambazi
Story zetu media hazi kavi
Tapo vile waliingia kwa Matiangi
Waambie hatuziachi
Vitu zingine ngumu kuwacha kama old habits
Usimangiwe ganji
Huyo si mimi ni vile ameweka my avi
Uliamini kairetu sana
Hata after kuambiwa anakaa jambazi