Gody Tennor – Nimekumark Lyrics

Check out “Nimekumark” lyrics by Gody Tennor on Kelxfy.
Nimekumark Lyrics
(Mavo on the Beat)
Area yangu kuna peng ni ka hard to get
Ye hushindaga ma indoor maybe atoke weekend
Naskia anapenda fimbo mi humuita DNA
Niko rada ya kumthitho, lazima nikabeng
Huskii nimekumark
Aai cheki nitakutap
Ah ah, nimekumark
Nimekumark na lazima nitakutap
Huskii nimekumark
Aai nitakutap
Nimekumark nimekumark
Na lazima nitakutap
Baby doll si uskie niko na form
Naeza kuspoil, naeza kutolea form
Si ati nabrag, adi we unaniknow
Baby doll sema name nikumwagie madoh
Ah ye hupatikana kwa form za wanaija
Usiku jemi night anazoza na wababa
Ye hutokeanga jo ka niko na rada
Goshodo amenibamba hii ndo mali nataka
Huskii nimekazoom zoom, nimekang’am
Nisharada maroute zote zenye ye hupass
Nishajua goshodo anapendaga tu kubash
So jo nikimround namround na macash
Huskii nimekumark
Aai cheki nitakutap
Ah ah, nimekumark
Nimekumark na lazima nitakutap
Huskii nimekumark
Aai nitakutap
Nimekumark nimekumark
Na lazima nitakutap
Akuna kitu inachizisha kama denda
Ama niteke goshodo mwenye amebeba
Manzi yako ameninoki juu ya mrenga
Kwangu kasha-surender najua vitu anapenda
Skiza doba vile inapumua
On the beat ni Mavo bana si unajua
Kufinish kumalo naleta mizuka
Badder than bad, badder than bad
Ati songa songa kama uko ndani
Niko na mali nani amebeba kinare
Ukinidai unacheza na madolari
Ni nare juu ya nare
So baby girl nimekumark
Aai cheki nitakutap
Ah ah, nimekumark
Nimekumark na lazima nitakutap
Huskii nimekumark
Aai nitakutap
Nimekumark nimekumark
Na lazima nitakutap