Trio Mio ft Bien – Ndani Lyrics
Check out “Ndani” lyrics by Trio Mio featuring Bien on Kelxfy. “Ndani” is a Swahili word that means inside.
Ndani Lyrics
Uuuhuh, Trio Mio
Mkuruweng na ingine juu ya system
Tuko ndani utadhani tuko deep state
Mawithin nko ndani maskani na ka mistress
Na hatutoki tuko ndani ka…
Tuko ndani ka
In the inside, in the inside
Walai tuko ndani ka
In the inside, in the inside
Tuko ndani
In the inside, in the inside
Walai tuko ndani ka
In the inside, in the inside
Oooh, in there inside
Utasia fiti,..
Ndani kabisa… ndani ka
Very nice
Ndani ka, leo utaitana
Tunacheza ndani
Huku mechi imeivana
Ndani kama ocean gate vile kunazamwa
Naenda deep sea diving
Bila floater nina njama
Ndani kama swallow
Mbegu ya Ovacado
Kismat ya asubuhi unaangukia ndani ya thermos
Ndani ka simcard ka nduki ya Saka
Ndani kama shimo juu ya cheeks za Sakaja
Tunalala ndani, mi na mpoa flani rada safi
Mzing hatutoki tuko ndani
Vibes and inshallah ni masticks na majani
Leo mteja hapatikani
Tuko ndani ka
In the inside, in the inside
Walai tuko ndani ka
In the inside, in the inside
Tuko ndani
In the inside, in the inside
Walai tuko ndani ka
In the inside, in the inside
[Bien]
Oooh! Hatutoki ni kaveve na ombitho
Tuko ndani kama dredi za Mokorino
Ni kapoa ni katamu kama pringles
Nikitoa kanajam juu ya fimbo
Na ni tamu kama wali wa mnazi
Songa na matime wacha kupoteza wakati
Mechi ndo inaanza weka ball katikati
Nyundo leo lazima ishikane na kabati
Tunalala ndani
Mi na mpoa flani rada safi
Mzing hatutoki tuko ndani
Vibes and Inshallah ni masticks na majani
Leo mteja hapatikani
Tuko ndani ka
In the inside, in the inside
Walai tuko ndani ka
In the inside, in the inside
Tuko ndani
In the inside, in the inside
Walai tuko ndani ka
In the inside, in the inside
Mkuruweng na ingine juu ya system
Tuko ndani utadhani tuko deep state
Mawithin nko maskani na ka mistress
Na hatutoki tuko ndani ka…
Tuko ndani ka
In the inside, in the inside
Walai tuko ndani ka
In the inside, in the inside
Tuko ndani
In the inside, in the inside
Walai tuko ndani ka
In the inside, in the inside
In the inside, ooh