Wangechi ft Buruklyn Boyz – Mzigo Lyrics
Kenyan artist Wangechi has released “Mzigo”, a drill song featuring Buruklyn Boyz. Enjoy “Mzigo” lyrics on Kelxfy. Mzigo is a Swahili word that means luggage.
Mzigo Lyrics
Wangechi (Skia, kwani ni kesho?)
Cheki, kwani ni kesho?
(Big Beatz Afriq)
Namba uno, namba uno
Yeah yeah, M-R-R-I-G-H-T
[Wangechi]
Allow me kwanza nijiintroduce
Bad bitch naeza kukuseduce
Flow ni tamu utadhani juice
Kumbe ni ya Sewer ninamisuse
Nyi’ mnanisaka, mnatafta who?
Mi natafta ganji niongeze boobs
Hii ni sure siwezi assume
Mama driller na hii game inahitaji lube
Huniwezi we rudi gym
Hio si foreign si ukidim
Ati Wangechi where have you been?
Mi ni malgan safi clean
Watagwan, washa bhang, mashetan
Watahang, Tusker can, on my hand, ni ya mafan
Munamess na independent girl
Tunaiwacha iende calm
Umenikufia kufa
Niliwarn huyu buda asinipende sann—
Nataka chali Omanga
Ananiwacha ka Millicent kwa kitandd—
Is that your rapper?
Mi ndio nilifanya abaki fan
[Chorus]
Of course hunipati kama si payday
Gish ndio unipate, grab your ticket
Still demanding street cred
Kama si uradi gotire
Malgan safi, shika mamdihe
Shika madurban, shika matire
I can’t wait hio mzigo ifike
Of course hunipati kama si payday
Gish ndio unipate, grab your ticket
Still demanding street cred
Kama si uradi gotire
Malgan safi, shika mamdihe
Shika madurban, shika matire
I can’t wait hio mzigo ifike
[Mr Right]
How many times tumemada GTA
B-Boyz ni ma-mission passed
I ain’t no killer
But don’t push me cheki huyu mnigga anataka tu-curse
Big sis vile ashawashow
Kukichacha ni one call na gang inaburst
Oh no wamepiga ma-stainless steel
Hizi zetu they can’t get rust
Qualified things, certified things
Hizi side hatucopy mabeats
Bro, nyi’ ni wakidi hizi meds ziko out of reach
Under 18, kaa bench you are under 18, son
Skiza, I don’t play with under 18’s
Sound unaskia ni freshi, kwa track na Queen Wangechi
Kwa rap mi ni chizi freshi huh
Kwa ground mi mtoto wa Messi, hah
Hah, usilete udead, hah, usilete udead
Tunakill ka Hessy
[Chorus]
Of course hunipati kama si payday
Gish ndio unipate, grab your ticket
Still demanding street cred
Kama si uradi gotire
Malgan safi, shika mamdihe
Shika madurban, shika matire
I can’t wait hio mzigo ifike
Of course hunipati kama si payday
Gish ndio unipate, grab your ticket
Still demanding street cred
Kama si uradi gotire
Malgan safi, shika mamdihe
Shika madurban, shika matire
I can’t wait hio mzigo ifike
[Ajay]
Two weeks ndio drop ifike
Seal hio shit ndio ndom isiskike
Aress chains wako hio drop iskike
Show tunabonga from quarter ticket
Allow me pagan listen
Niko kwa trap sitoki inje (Yoh! yoh!)
Nina ma loud na si za finje
Get your smoke kabla nizikinde
Bad B anadai nikinye
Confirm mali kabla uitise (Confirm)
Nang’am vako za ground
Nalink na maplug kabla niitishe
Na-na-na re-up tena ka-ka-ka-kabla ziishe
Nabring hio smoke hakuna hata haja nijikishe
Tuko ’58 joh na maflavor man
KiCali juu ya hewa man
We request ’58 flavor man, utapewa man
Tuko ’58 na maflavor man
KiCali juu ya hewa man
We request ’58 flavor man, utapewa man
[Wangechi]
Of course hunipati kama si payday
Gish ndio unipate, grab your ticket
Still demanding street cred
Kama si uradi gotire
Malgan safi, shika mamdihe
Shika madurban, shika matire
I can’t wait hio mzigo ifike
Of course hunipati kama si payday
Gish ndio unipate, grab your ticket
Still demanding street cred
Kama si uradi gotire
Malgan safi, shika mamdihe
Shika madurban, shika matire
I can’t wait hio mzigo ifike