Milashe Chacha Slide lyrics ft Mr Right (Buruklyn Boyz)
Check out Milashe new song ” Chacha Slide” featuring Buruklyn Boyz artist Mr Right on Kelxfy.
Chacha Slide Lyrics
Hizi pande ni kungori
Mafala wakinyambisha tuna CHACHA SLIDE
Hizi roads tunacross
Hatulook left or right tuko mesmerised
Ka imechacha imechacha
Hatulook back bro tuko on na tusha decide
Ka imechacha imechacha
Hatulook back bro tuko on na tushadecide
Hizi pande ni kungori
Mafala wakinyambisha tuna CHACHA SLIDE
Hizi roads tunacross
Hatulook left or right tuko mesmerised
Ka imechacha imechacha
Hatulook back bro tuko on na tusha decide
Ka imechacha imechacha
Hatulook back bro tuko on na tushadecide
Rotten hii track imechacha imechacha imechacha why
Milashe tunachacha slide tukiplay hii bomb wana chapa slide
Bad weather no summertime lightining lightning wanatraumatize
Badboy usiulize why Buruburu station tuko kwa mafiles
Nikey haunipati yoh, aki ya nani ni criminal
You, you can’t see me no na ka nakudai yoh give me doh
Si kwa ubaya bro msiforce hizo flow zenyu hauski zinabo
Goddamn na switch izo system heri niskize burnaboy on the low
I hope ni biz ya kuisha nadai kuishika kata price
678 ni kapa 9, 11/24 yoh cheki time
Time, time ya kuchacha slide
Twinsey if I make a rhyme
No lie all the girls go ma ma mae
Hizi pande ni kungori
Mafala wakinyambisha tuna CHACHA SLIDE
Hizi roads tunacross
Hatulook left or right tuko mesmerised
Ka imechacha imechacha
Hatulook back bro tuko on na tusha decide
Ka imechacha imechacha
Hatulook back bro tuko on na tushadecide
Hizi pande ni kungori
Mafala wakinyambisha tuna CHACHA SLIDE
Hizi roads tunacross
Hatulook left or right tuko mesmerised
Ka imechacha imechacha
Hatulook back bro tuko on na tusha decide
Ka imechacha imechacha
Hatulook back bro tuko on na tushadecide
M.Right hawa maopp wanabuya wanaskia Milashe amepiga slide
Hii game tunaicheza right…
Hii side tunatuma ma missile plus ma mabomb hatusympathize
Huyu mpoa anashake a dice I swear, I swear
Who did I see did i see CID IDC ikani DCI
— eye for an eye
We mbona ulidhani si slide ai
Hio feature haidai track moja na nyi mapikini
Jirani anaskianga na hit
Flow zangu ni different na iko na different tunes ka flute
Musically nagrow na nataka kujua nani anarefute
Vile nimerise hawana clue, I guess nilikua among the choosen few
Msupa ametokwa smiling amedunda shati ya Drew
Hizi pande ni kungori
Mafala wakinyambisha tuna CHACHA SLIDE
Hizi roads tunacross
Hatulook left or right tuko mesmerised
Ka imechacha imechacha
Hatulook back bro tuko on na tusha decide
Ka imechacha imechacha
Hatulook back bro tuko on na tushadecide
Hizi pande ni kungori
Mafala wakinyambisha tuna CHACHA SLIDE
Hizi roads tunacross
Hatulook left or right tuko mesmerised
Ka imechacha imechacha
Hatulook back bro tuko on na tusha decide
Ka imechacha imechacha
Hatulook back bro tuko on na tushadecide