34 Brick – Rima Lyrics

Read “Rima” lyrics by Thirty Four Brick (Mauru Gwash, Only Moh, and Jaylo) on Kelxfy.
Rima Lyrics
34 Brick block imesunda imesunda clips
From wadie rima ni cell
Nipate nachora mirista na pen
Nazingafu niko kwa den
Si ndio mabad akuna pretend
Kusaka ganji inafanya ni sweat
Bundle na sidai madent
Usinicatch na mi si feelings
Kwangu ganji ndo my healing
Zimenyce niko top kwa ceiling
All black utadhani mi ni msudi
Aroma fine ka udi
Dunga tenje ukidai ma goodies
Misiko free kuniwai ni doh
Early bird narauka four
Juu ya madawa natembea slow
Kwa stu ni mabanger na draw
Mbona unahate na doba umecram
Mpepe nadai i confirm
Nadai shorobo kwa drum
Dunga tenje ukidai magram
Mapretender wanapatikana Instagram
Chunga bro usipigwe scam
Ukona maswali mingi na si exam
Nadai shuksha kibao ni ka tuko harusi
Come hii pande utapata ma bully
Nikiulizwa me sijui
Tomba warazi me stambui
Kila chuom napita na mbling si vui
Usiniite bro hunijui
Niko na maganji
Na nachezanga chini
Huezi ji compare na mimi
Na unakuanga chini
Niki toa dikwara kila mtu lala chini
Hawa marapper ni waniaju na wanaitaji tizi
Nakuanga nime okoka bado mimi miuwachai
Uku mboka ni za itoka unakinda ngwai
Ndaku chai ukizileta nizi buy
Trace iwa marima vulai
Pira ndechu pia nime chai
Mara ngapi rengwa tume kosa ngyai
Husini blame niki fanya warazi wa dry
From wadie rima ni cell
Nipate nachora mirista na pen
Nazingafu niko kwa den
Si ndio mabad akuna pretend
Kusaka ganji inafanya ni sweat
Bundle na sidai madent
Usinicatch na mi si feelings
Kwangu ganji ndo my healing
Zimenyce niko top kwa ceiling
All black utadhani mi ni msudi
Aroma fine ka udi
Dunga tenje ukidai ma goodies