Mauru Gwash ft. Toxic Lyrikali – Packe Remix Lyrics

Check out the “Packe Remix” lyrics by 34 Brick artist Mauru Gwash featuring Mboka Doba artist Toxic Lyrikali on Kelxfy.
Packe Remix Lyrics
My Mums hushinda akipray
Ati any day naeza pay
Daily nasaka packe
Daily naskuma uko Kay
My Mums hushinda akipray
Ati any day naeza pay
Daily nasaka packe
Daily naskuma uko Kay
My Mums hushinda akipray
Ati any day naeza pay
Daily nasaka packe
Daily naskuma uko Kay
Daily nasaka packe
Daily naskuma uko Kay
Daily nasaka packe
Daily naskuma uko Kay
Kuniona 4K, quality hio ni less kwa pay
Bugda ju ya some wrong sayings
Pewa cain kosa baze
Mi msee wa kupiga mascene mascene
Sa ntapendaje fame?
Kipolitician bad and clean
Na nacheza fucha kwa game
Waukuja wakiinguzia si ndio tuwapatia moyo
Kimorio ju anaeza kajikunia tushughuliki watoto
Kionjo kichapo tuliwapea tunarudia tena morro
I’m stinking rich design nanukia
Unajua ni kidosi hii cologne
Three people kuksakwswa ni dakika zero
Akona plasta kwa mnoko juu ya kujifanya hero
Kukibakishikia kesho hio inakuanga mandiro
Nilichorea magram sai nadungia makilo kilo
G lakini sichoki magoti
Sanka nagrab na grab maploti
Paste kama uko na copy
Chukua 6 toa kwa 40
Geuza bacon juu ya poking
Nikishoot wauenda shopping
Nachora nafanya plotting
Nakugutuka kwa ploti jioni
No grip, two seconds uko kwa ground
Aliround na pupa akabugda tunajua ocha yao
Sijaipenda mapopo
Sinanga hongo ya karao
Tunatoa area yote mbio tunarun town
My Mums hushinda akipray
Ati any day naeza pay
Daily nasaka packe
Daily naskuma uko Kay
My Mums hushinda akipray
Ati any day naeza pay
Daily nasaka packe
Daily naskuma uko Kay
My Mums hushinda akipray
Ati any day naeza pay
Daily nasaka packe
Daily naskuma uko Kay
Daily nasaka packe
Daily naskuma uko Kay
Daily nasaka packe
Daily naskuma uko Kay
One Comment