Ajay, Buruklyn Boyz – Caliweed Lyrics
Check out “Caliweed” lyrics by Ajay and Buruklyn Boyz. “Caliweed” is the first single by Buruklyn Boyz in 2023 after they released their debut album “East Mpaka London”.
Caliweed Lyrics
Yoh, kwani ni kesho
Kwani ni, yoh, skia, yoh!
Number uno natrap for a reason
Man, boy wanakill every season
Game tuliwin joh, kabla kick-off
Huku mabuda hatupendi wa itot
Ni maAIR sijapiga maReebok
Man, chogi natoa kijiko
Sitambui ka uko on ntakuswitch off
Bad Boy siku hizi ni maflavor na real stock
Number uno natrap for a reason
Man, boy wanakill every season
Game tuliwin joh, kabla kick-off
Huku mabuda hatupendi wa itot
Ni maAIR sijapiga maReebok
Man, chogi natoa kijiko
Sitambui ka uko on ntakuswitch off
Bad Boy siku hizi ni maflavor na real stock
Mi nliwapeleka na form hii mtaa, waache kuvuta manyas
Ex wangu alikuwanga na bunda but singedie ju ya nyash
Fun fact AJAY haskizangi ny***, ye ni dwanzi hajuangi Math
Manigger wanajifanya kuplug hii mtaa na najua hawaskumi magram
Sihitaji vacation joh kwa port am the guy with the Cali Weed
I swear all the baddies want to be
Huku ndani kumewaka ma Christmas trees
Wach kazi yao “as jack as it is”
Boy anatrap “‘ssup wit the lean?,” uno
Lean, boy anatrap “‘ssup wit the lean?”
Number uno natrap for a reason
Man, boy wanakill every season
Game tuliwin joh, kabla kick-off
Huku mabuda hatupendi wa itot
Ni maAIR sijapiga maReebok
Man, chogi natoa kijiko
Sitambui ka uko on ntakuswitch off
Bad Boy siku hizi ni maflavor na real stock
Number uno natrap for a reason
Man, boy wanakill every season
Game tuliwin joh, kabla kick-off
Huku mabuda hatupendi wa itot
Ni maAIR sijapiga maReebok
Man, chogi natoa kijiko
Sitambui ka uko on ntakuswitch off
Bad Boy siku hizi ni maflavor na real stock
Clue Manze Ashaivisha Track
Kezi