Tasha Fears – Kamau Lyrics

Check out the “Kamau” lyrics by Tasha Fears on Kelxfy. Tasha Fears is a budding Kenyan artist with a versatile, unique music style and sound, ready to take Kenyan music to the international level.

Kamau Lyrics
Ayayayaaa aah aah
Kwani jana ulikuwa wapi
Nimeshinda nikikutafuta
U hali gani sijakuona kwa muda
Hebu keti chini tunafaa kuzungumza
Hadi majirani wanasema uko na shida
Wanasema mi sifai kuwa na wewe coz you lie
Unavutanga mangwai ukiteka kina sly
Jana ulikuwa na Foi kwa keja ya kina Kyle
Akikupa na mastyles and you did it for a while
Ati nini ako nayo yenye mimi sina
You tell me that she does your laundry
She gon’ be your wife
You tell me you don’t want me
I was never worth your time
She does it better than me
When she takes you for a ride
She does whatever you want her to do
Just for your pride
She feeds your ego boy
You know I’d never do that
Ayayayaa aah, tuiretu nitugukuthiria
(Wasichana watakumaliza)
Tigana na nii, tigana na nii
Tigana na nii Kamau wakwa
(Leave me alone, leave me alone
Leave me alone, my Kamau)
Tigana na nii, tigana na nii
Tigana na nii Kamau wakwa
(Leave me alone, leave me alone
Leave me alone, my Kamau)
Kamau, tajira twakinyire
Haha atya ulianza na dharau
(Kamau, niambie tulifika hapa aje
Ilianza na dharau)
Unginjiira dunyendete niguo menye angalau
(Ungeniambia hunipendi ndio nikae nikijua)
Ngithii mucii ngiira aciari uhoro waku wee Kamau
Nikaenda hadi nyumbani
Kuambia wazazi wangu kukuhusu, wee Kamau
Ikawaje my Kamau, never knew real you somehow
You betrayed my love kamau
My Kamau, tigana na nii
(My Kamau, leave me alone)
Ayayayaa aah, tuiretu nitugukuthiria
(Wasichana watakumaliza)
Tigana na nii, tigana na nii
Tigana na nii Kamau wakwa
(Leave me alone, leave me alone
Leave me alone, my Kamau)
Tigana na nii, tigana na nii
Tigana na nii Kamau wakwa
(Leave me alone, leave me alone
Leave me alone, my Kamau)
Ayayayaa aah, tuiretu nitugukuthiria
(Wasichana watakumaliza)
Tigana na nii, tigana na nii
Tigana na nii Kamau wakwa
Leave me alone, leave me alone
Leave me alone, my Kam