ThirtyFourBrick – Pata Potea Lyrics ft. Mc Ranchuu
Check out “Pata Potea” lyrics by ThirtyFourBrick featuring Mc Ranchuu on Kelxfy.
Pata Potea Lyrics
In a very disrespectful way
Sijakuja hapa kubanja
Sijakuja hapa kucheka sawa
Skia hii, hii ni ya hao mamwere
Nina trap wacha nione vile naeza mshika
Niki-cock apa nduru sa zinaeza skika
Nakupea scholarship scolastica
Nakwama na beef hii ndo inaitwa scola-sticker
Kwenye ma timber sa ni kuwa kanyagia slippers
Wana piga riba na tunajua ni ma ass kissers
Ati what kwanza shhh Mr speaker
Doba ako kwa hewa unaeza ongeza sauti ya speaker
Mistari mingi iko kwa memcard ya mnisa
Una cheza na beat nakupea flow mia tisa
Ita jirani umuonyeshe kama ashai skiza
Nawasha kigode Niki skizia ki sqeezer
*Hao marapper nawaingiza ndani ya freezer
Hewa ime potea itabidi nime wataftia breather
Wana look up to me, man-a-twiga
Me sigothi tena juu nachukia sauti ya Breeder
Hao marapper sa ni wa stick to writing insha
Na nta hakikisha iyo nme pitisha
Wana-cap, wana copy, wana zoom
Hapo kwa dirisha hapo ndo wame jificha
Naruka line ndo niingie Super Metro
Wewe hizo lines wali kupangia Kwa salon
Hizo doba una sukiwa na metro
Beat imeparara sa inafaa kupakwa Valon
Center of attraction kwa central division
Land lord kwa beat sa nme kuja hapa eviction
Ready in action, causing distraction
Mana rrrr apa no introduction
Nakuja na hit kwa gas cooker
Mwere anastuka kwa rodi tuna mvuka
Na tuende bado ye ni bitch kama msupa
Ni nani ata msuka wamama wachangishiwe vitenge
Ati knock knock ako whose knocking
Whose passing hajui whose coming
Namba nane alikutrace uka stuka
Ooh yeah, it was such a good timing
Rushwa kwa boot ni polite kidnaping
Pigishwa lap waki-think of something
Tuna mjua, tunaeza muua
Si kalinyora venye wali kastua
Am back they can’t do nothing
Am back they can’t say nothing
Big baba f**k you ngati
Am back you can’t say nothing
Am back like I never left
Yaani mbaka sasa ime bidi nianze kilami
Na-ukidoze usikose net bado
Nina umbu zina uzz makejani zzz
Shooting star Wana niita comet
Yaani bila ndege ninapaa niko angani
Kumochoa usimochoke late
Apa tuna kutepa ukiingia kwa baesa flani
Some searching, some lurking
Amani staki blood fucking
Am fucking while standing
Me ndo real baba apa no family planning