Cash Crop ya Nyandarua ni Mawaru Lyrics
Check out “Cash Crop ya Nyandarua ni Mawaru” Lyrics by Spider Clan. The song title is “Rieng Genje” which is a sheng word that means “hot vibes”. The song became a viral hit after one of the crew members known as Ngesh was discovered, making her become popular in Kenya.
Cash Crop ya Nyandarua ni Mawaru Lyrics
Rieng Genje haha
[Banguz]
Genje ni genje warazi wamemedi
Ni kumed, tuko fiti tuko baze
Tunanauwo ni wikendi
Warazi wakimuok tuko pia tukibanji
Rieng ka ni genje rarua kuchafua
Madunya, mabanga warazi si ni fiat
[Ngesh]
Wangare na sidai kukatema
Ni kajaba si heri tu nikameze
Pande moja ni kaveve kazoze
Unibebe hata mbele ya kirende
Sitambui wewe maunenge
Mamiwa, maembe na marenge
Ngesh tex ni mdem wa maform
Chain chain ifike hadi kwa dorm
Magalbase wangu ni madotcom
Cashcrop za Nyandarua ni mawaru
Rieng genje nganya tifi ni Subaru
Niliachwa na Karao nikatekwa na kaparo
Mataro master wangu ni Kamaru
Ni bidii hashtag kujituma
[Mwasray]
Spideclan tunakam kunyambisha
Na mambleina kuwastamp kuwatoka
Mangwangis kuwatoka kimangoto
Ma aunties na kuchat na maphoto
Msitense ni magyals wanadance na ka evidence
Hio sio case tukijinyc na ma ice
Ni machase na machase, yoh yoh skia
Mwasray na manyanga nikisakanya mafala
Nikibonda utanauwo mi sipendagi ufala
Nitakuspin na mabare
Nikufulize kama Tala (Tala)
[Banguz]
Genje ni genje warazi wamemedi
Ni kumed, tuko fiti tuko baze
Tunanauwo ni wikendi
Warazi wakimuok tuko pia tukibanji
Rieng ka ni genje rarua kuchafua
Madunya, mabanga warazi si ni fiat
[Mguz]
Spiderclan ni the gang on the mic
Mbogi fiti inanyc na kasize
Na madem nawaride kama bike
Na mafans wakiwatch wanasub na kulike
Rieng genje ziko fine ni kuraru
Si kiwake tukichome tukimedi
Na mashada zikiwaka kimogatha
Zangu ni mamoshi ka chumli za ocha
Spider clan kazi tu kuchachisha
Ah nduthi jina kubwa watagwaya
Ni mirista kusetoka, madem kuwakemba
Na mbogi kuzitokaaa..
[Banguz]
Banguz kuwatoka niko genje mawikendi
Na rieng ya wanoko kuwatoka na kajing
Jing jing maithaa majioni
Warazi wanabuya niko idhaa ya mamorio
Wasupa wanaroria na matori, ni kungori
Warazi na mandunya kuroria
Kinyama tunaseti manati konda
Na ni hard tukiclash, tuko hapa na madashari
Genje rieng spider clan tumekam kuondoka
Mirista, kutoka miondoko rarapon
Ndizli tunabuy tukilaunch tunagive
Tumebounce wakitoa shikilia ka bazenga
[Banguz]
Genje ni genje warazi wamemedi
Ni kumed, tuko fiti tuko baze
Tunanauwo ni wikendi
Warazi wakimuok tuko pia tukibanji
Rieng ka ni genje rarua kuchafua
Madunya, mabanga warazi si ni fiat
[Banguz]
Genje ni genje warazi wamemedi
Ni kumed, tuko fiti tuko baze
Tunanauwo ni wikendi
Warazi wakimuok tuko pia tukibanji
Rieng ka ni genje rarua kuchafua
Madunya, mabanga warazi si ni fiat