Lil Maina – Saa Sita Lyrics ft. YBW Smith & Danski
Check out “Saa Sita” lyrics by Lil Maina featuring YBW Smith and Danski on Kelxfy. “Saa Sita” is off Lil Maina debut album, “Maisha ya Stunna“.
Saa Sita Lyrics
Ni saa sita Expressway na dinga
Dem ananicall anadai ati naringa
She wan fck juu ya greencard na visa
Ju kila napoenda jina yangu nawakilisha
Ndani ya keja ni mamoshi
Who are you ni watoto wakorofi
Ni mara ngapi nimeongelea makofi
And it’s not the drink it’s just how I reason
Alaaa ah..
Take it slow, manze take your time no rush
Jibambe everytime of your life
Na usiwaste time, this time uko na chance
Leo ndo ile siku nimeamka nikiwa head sina time
Mkwela anadai nimcuff relax
Alisema brown ndo tuff, rough
Bro ukipiga lap anajinyc
Hii sound ni ya watoto wakorofi wanalearn
Na watu wote wanawonder, wonder
Kila day namtaka, taka
Take it slow no haraka, raka
Mi ndo mwalimu kwa darasa, rasa
Cheki baby basi shake it
Shake shake shake it, hizo huh huh
Shake shake shake it, hizo huh huh
Shake shake shake it, hizo huh huh
Huh huh huh….
Cheki manze kila mtu anakatika
Mbona manze umeeka ngwai kwa shisha
You deny me ndo uende jo kwa Peter
Vitu ni different achana na social media
Usitrust kile watu wanapost
Chunga manzi kwanza anapenda raw
Hizo ndo vitu manze zitakucost
Toka hapa kwanza manze we ni hoe
Na watu wote wanawonder, wonder
Kila day namtaka, taka
Take it slow no haraka, raka
Mi ndo mwalimu kwa darasa, rasa
Cheki baby basi shake it
Shake shake shake it, hizo huh huh
Shake shake shake it, hizo huh huh
Shake shake shake it, hizo huh huh
Huh huh huh….