Darassa ft. Marioo – News Lyrics
Check out “News” lyrics by Darassa featuring Marioo on Kelxfy. “News” is a feel good song which talks about our daily lifestyle.
News Lyrics
Wanangu Dar es Salama
Nigongee vibe eh
Oyaa oyaa oyaah
Nairobi vipi form ni gani?
Hakuna tu cha kusema
Napitapita tumi za kwangu
Nikutafuta hela tu baba-angu
Banyarwanda mpaka baganda
Burundi na Congo, Bonjour?
Bonjour? Komasavaaa
Okay okay alright
Habari za andani na kimataifa
Maisha ya michezo na burudani haloo
Habari za andani na kimataifa
Maisha ya michezo na burudani
Ikiisha siku imekwisha
No repeat no rewind
Unamtaka Huddah ama Kajala?
Go fight
Dar Es Salaam imekucha ukilala
Goodnight
Ajali ajali anaacha barabara
Puuuh, bombastic
Na kumbe kenge uko kwenye msafara huu
Duu, good luck
Watu wanadandia magari
Wapate safari kujivinjari
We unadandia hatari
Kifo cha mende migulu chali
Sura wamezificha
Mpigaji kachomesha picha
Si alikuwaga anabisha
Kama anatoka anatoka na Monalisa
Dada ya Eminado
Jana kashushwa na Prado
Kumbe watu wanakula chabo
Kwa mumewe imekuwa trouble
Habari za andani na kimataifa
Maisha ya michezo na burudani
Habari za andani na kimataifa
Maisha ya michezo na burudani
Unataka trending ukae number one
Ndo upake mkate cologate
Mambo ni mengi yaani very funny
Kichwa cha habari kwenye magazeti
Zile bwana pita pita nikajikuta
Kwenye page za udaku, enhee
Mtu akafanya upumbavu
Wamemuogesha maneno machafu, enhee
Tutarudi punde si punde
Tupate maneno ya wadhamini, enhee
Kuna story mjini fashion
Kidume katinga bikini, enhee
Kama una source, nipigie keep me posted
Kabla bado sijafunga mapoti
Maana bado nina vitu hot hot
Kwenye line ya kwanza hello
Sina muda story short
Wananiita zaza zizi zuzu
Saa mbovu wa kibanda cha moshi
Jana nimemuona kijeba
Kachomeka magongo ya ngongoti
Habari za andani na kimataifa
Maisha ya michezo na burudani haloo
Habari za andani na kimataifa
Maisha ya michezo na burudani