Jay Melody – Niwe Lyrics
Check out “Niwe” lyrics by Jay Melody on Kelxfy.
Niwe Lyrics
Sheah, mmmh, sheah
(It’s S2kizy beiby)
Uuuh lah, anaitwaje uyo, Jay once again
Batani kunawaka batani
Kama hauna kinyongo, mshtue jirani
Kama una chuki, nenda shitaki mahakamani
Hizi lugha mbovu naomba tafuta mkalimani
Na hivi ndivyo nilivyo mimi niache niwe
Na hivi ndivyo nilivyo mimi niache niwe
Usinigasi we, niache niwe
Usinigasi we, niache niwe
Mitungi iyo (Halafu mikas iyo)
Piga simu iyo (Wewe uko wapi iyo)
Mitungi iyo (halafu mikas iyo)
Piga simu iyo (wewe uko wapi iyo)
Na hivi ndivyo nilivyo mimi niache niwe
Na hivi ndivyo nilivyo mimi niache niwe
Usinigasi we, niache niwe
Usinigasi we, niache niwe
Mara ngapi nilikwambia
Usimdharau mtu kwenye dunia
Kiko wapi nilikwambia, humuoni hadi bae
Tunakunywa nae bia, mama
Na hivi ndivyo nilivyo mimi niache niwe
Na hivi ndivyo nilivyo mimi niache niwe
Usinigasi we, niache niwe
Usinigasi we, niache niwe
Mitungi iyo (Halafu mikas iyo)
Piga simu iyo (Wewe uko wapi iyo)
Mitungi iyo (Halafu mikas iyo)
Piga simu iyo (Wewe uko wapi iyo)
Na hivi ndivyo nilivyo mimi niache niwe
Na hivi ndivyo nilivyo mimi niache niwe
Usinigasi we, niache niwe
Usinigasi we, niache niwe