Msamiati ft. Ibraah – Amen Lyrics
Check out “Amen” lyrics by Msamiati featuring Ibraah on Kelxfy. “Amen” is a thanks and praise song that encourages fans to keep going and to keep trusting in God.
Amen Lyrics
Chinga on this one
Kama kuparty sawa, kula bata
Ila usisahau na kutoa sadaka
Life tunakwenda haturudi yeah
Kama kupata sawa, ushajipata
Usiwasahau ndugu zako chaka
Kama hawakukutenda ya makusudi yeah
Riziki popote, tutafute wacheke
Usichoke, si unajua life ni maseke
Pambana ooh, pigana dunia haina mwenyeji
Riziki popote, tutafute wacheke
Usichoke, si unajua life ni maseke
Pambana ooh, pigana dunia haina mwenyeji
Sema Amen (Amen)
Mshukuru Mungu (Amen)
Mengi katuvusha, mengi katuvusha
Papa God
Sema Amen (Amen)
Mshukuru Mungu (Amen)
Mengi katuvusha, mengi katuvusha
Papa God (Ooh, aah)
Eeeh, waza (Ughwe umenyee)
Waza, ndugu waza
Ndugu usisahau kuwaza
Waza, jua duniani kuna
Wa mwisho na wa kwanza
Usiwaze maisha yako yatakushangaza
Maana unapitia mengi na unajikaza
Waza, chunga tu isiwe ujinga utachokiwaza
Makubwa hayaji kirahisi bila kukaza
Ufundishe moyo wako pia kukataza
Shida zako sio kitu cha kutangaza
Bila Mungu tungekuwa wapi? Wapi?
Mshukuru kakufanyia mangapi? Ngapi?
Wote tunahitaji kuwa happy
Waliniombea mabaya nimeshinda kiko wapi? Wapi?
Marafikii ndio wamekua ndugu
Tulipaopene na wana
Nimekua anavyotaka Mungu
Yamuka Kuchele
Riziki popote, tutafute wacheke
Usichoke, si unajua life ni maseke
Pambana ooh, pigana dunia haina mwenyeji
Riziki popote, tutafute wacheke
Usichoke, si unajua life ni maseke
Pambana ooh, pigana dunia haina mwenyeji
Sema Amen (Amen)
Mshukuru Mungu (Amen)
Mengi katuvusha, mengi katuvusha
Papa God
Sema Amen (Amen)
Mshukuru Mungu (Amen)
Mengi katuvusha, mengi katuvusha
Papa God (Ooh, aah)
Sema Amen (Amen)
Mshukuru Mungu (Amen)
Mengi katuvusha
Chinga! Konde Music Worldwide
Yeah, yeah!
Kamix Lizer!