Fathermoh Chunli Lyrics ft Khaligraph , Smady & Boutross
Fathermoh new song “Chunli”featuring Khaligraph Jones, Smady Tings & Boutross released on 14 October 2022. Audio produced by Kenyan BlackMarket producer/artist Vic West. Vic West is best known to produce his own song “Kuna Kuna”.
Chunli Lyrics
Niko aluta baby nachanachana
Na siezi kosa time ya kukupeleka Java
Kamasutra doggy nakupa chupa
Ka ni mwere we chunga mi humangiana maduka
Ati chunli pelekwa na mtaratara
Sina mask mabanga si madibala
Cheki smart luku nimepiga maclarks
Huku stori ni mashash dikla fisa tumengára
Chunli pelekwa na mtaratara
Sina mask mabanga si madibala
Cheki smart luku nimepiga maclarks
Huku stori ni mashash dikla fisa tumengára
MG tunadirtyfy ka daila makwela
Mbogi dosho ilinki kabaila
Za kihessy kuwanasho kadaila
Za kihessy tunandanasha mawailer
Bado mbogi ime-jastavu
Na baroda ni mrefu ni kunywastaku
Mangwariti stoko genje nimengastafu
Kangést wanaidra nikizastagi
Just amewakalia ngastafi
Henny wakimedi na marwastang’a
Wastang’a kuwatrace kuwakastang’a
Listing ukitry zekistini
Chunli pelekwa na mtaratara
Sina mask mabanga si madibala
Cheki smart luku nimepiga maclarks
Huku stori ni mashash dikla fisa tumengára
Chunli pelekwa na mtaratara
Sina mask mabanga si madibala
Cheki smart luku nimepiga maclarks
Huku stori ni mashash dikla fisa tumengára
Smile ukiwa ka high sai
Drop drop ka unadrip like this
Kikombe na pombe si maji
Hands in the air like this
Ki loud nakiwashia kwa street
Baridi ikiingia Nai naikulia malil
Mama mtam but Tusker inin
Anai amshanga ngware like a starter mil
Smile ka una see over kwa teeth
Shanda akitry na umepin
Scarter hio siren nalia
Kabla hio kidungi ikufail
Chunli pelekwa na mtaratara
Sina mask mabanga si madibala
Cheki smart luku nimepiga maclarks
Huku stori ni mashash dikla fisa tumengára
Ogoro kwa shingo inakaa watery
Ndio reason Maggy anagawa kama offering
Na break bank ni ka nimengukia lottery
Mockery na kiburi itafanya ulazwe kwa mortuary
And should I take it more further
We ni show Fathermoh jua more than a fore father
Daddy Jones a father to four others
I gat 28 ribs huh four saba, get it
Niko mboka na mawarges
Eastleigh niseti incase uone nimechar base
But I gotta get it regardless
Hata kama kuna mbogi husema niko heartless
Na ka huleti uradi unamadwa
Starehe tukunyang’anye ukose kazi ka Jaguar
Mi huflow kama maji imemagwa
Debate nawasafisha ki Rigathi Gachagua
Pi Ru mi huwa naleave scene messy
Ulizia they’ll tell you he’s been petty
Christine tuliza nyege sikutaki
Blueticks ka nyonyo anapiga weave synthetic
Smady rada jeshi inalia aje Eastlando?
Nimecheza chini though kila wiki siwezi miss scandal
Wacha kinyoriro buda weka beef kando
Kuchokoza Omollo ni sawa na kudiss Rambo
Chunli pelekwa na mtaratara
Sina mask mabanga si madibala
Cheki smart luku nimepiga maclarks
Huku stori ni mashash dikla fisa tumengára
Chunli pelekwa na mtaratara
Sina mask mabanga si madibala
Cheki smart luku nimepiga maclarks
Huku stori ni mashash dikla fisa tumengára