Chino Kidd Ft. Stamina Shorwebwenzi – Change Vibe Lyrics
Check out “Change Vibe” lyrics by Chino Kidd featuring Stamina Shorwebwenzi on Kelxfy.
Change Vibe Lyrics
Who are you? Jina lako nani?
Naomba tueleze we kabila gani?
Hey naitwa Chino Wanamani
Mi natoka Moro juu milimani
Wanauliza vipi?
Mbona kila kazi unayofanya haipingiki?
Hey ka baya yote huwaga nasali
Nikiamini Mungu yupo
Unashine kila baa kila kona
Vipi wasanii wakubwa wakija kukuona
Sina noma nao, mi naishi nao
Maana naamini wako na nafasi yao
Nasi mashabiki zako tunauliza
Vipi amapiano kaka unaangamiza
Asa mbona mnaniweka kwenye kiza
Enyi mashabiki punguzeni visa
Na change vibe, na change vibe
Na change vibe, na change vibe
Na change vibe, na change vibe
Na change vibe, na change vibe
Eh wakati wananiletea panga ili nikate tamaa
Kumbe Mungu nae kapanga ili nipate chapaa
One man army nyota nili kishujaaa
Nimekuwa mtamu kama mcharo sa navuma kila mtaa
Mixer kutembea na ngoko
Sa karibu kila chocho
Stage kurushwa makopo
Si unajua Bongo nyoso
Sasa ivi naliteka soko
Leo nakusanya maokoto
Toka kutembea kwa mguu
Hadi leo lina mkopo
Now niko fiti hadi najiogopa
Na huu ufupi huezi amini pisi zitashoboka
Niko shkopa, Shorwe masai mi nachunga muda
Nmeshika panga ..kuni nachanja bunga
Kwani huko mtaani kuna habari gani?
Si kila kona ni Shorwe na Chino wanamani
Whatagwan? Kutoka Molo mlonguluka hadi leo DSM
Mwendo wa pizza mambo suka
Leo tupo kila sehemu kama tundu la choo
Si amapiano tu, hata hiphop hawatoi draw
Tunashine vya duka hadi mitumba ya–
Tulipotoka ni mbali acha tutambe vijumbe
Na change vibe, na change vibe
Na change vibe, na change vibe
Na change vibe, na change vibe
Na change vibe, na change vibe
Pilipili wako kila kona
Lakini Jah anabless
Kwa wao furahi wakituona
Tukiperform kwenye show
Na change vibe, na change vibe
Na change vibe, na change vibe
Na change vibe, na change vibe
Na change vibe, na change vibe