Fathermoh – Marafiki Lyrics
Kenyan Mbuzi Gang artist Fathermoh has released yet another banger to celebrate the holiday season. Check out Marafiki lyrics by Fathermoh. Fathermoh is well known for trending hit songs, in 2020 together with Mejja, they released “Shamra Shamra”which went viral.
Marafiki lyrics by Fathermoh
Eeh aah tushafika
Sherehe ya pesa moja asubuhi
Ka tuko watano pombe iwe kumi
Akizima anywe tena itaamsha mwili
Sipendi pombe nalewa ju ya marafiki (Aha)
Marafiki nalewa juu ya marafiki
Sipendi pombe nalewa ju ya marafiki (Aha)
Marafiki nalewa juu ya marafiki
Mi huget text kila saa za “Uko?”
Si ufike hapa ukam hivi ndio
Kufika hivi naona meza imechrome
Shots shots go Pato
Niko na marafiki thana
Wao hukuwa na pesa tena sana
Shida wako kazi mchana
Usiku wanalewa na kuchana
Nikiskia form mi nakimbia
Shots unamwagia mpema na sana
Ukiona Brayo anakupigia akiwa na Kevo
Pombe na wasichana
Eeh aah tushafika
Sherehe ya pesa moja asubuhi
Ka tuko watano pombe iwe kumi
Akizima anywe tena itaamsha mwili
Sipendi pombe nalewa ju ya marafiki (Aha)
Marafiki nalewa juu ya marafiki
Sipendi pombe nalewa ju ya marafiki (Aha)
Marafiki nalewa juu ya marafiki
Ogopa marafiki wa gin
Utalewa anytime anyday
Ogopa marafiki wa Whiskey
Utazima by force anyway
Airforce twende form hadi che
Pre-game tukiwa kwa highway
Unazimia kwa club kesho tutoe lock
Tulewe again and again
Eeh aah tushafika
Sherehe ya pesa moja asubuhi
Ka tuko watano pombe iwe kumi
Akizima anywe tena itaamsha mwili
Sipendi pombe nalewa ju ya marafiki (Aha)
Marafiki nalewa juu ya marafiki
Sipendi pombe nalewa ju ya marafiki (Aha)
Marafiki nalewa juu ya marafiki