Kitu Sewer – Zikikam Lyrics
Check out “Zikikam” lyrics by Kitu Sewer on Kelxfy. “Zikikam” is off KituSewer Album “Makali Man”.
Zikikam Lyrics
(Nonsense….
Ati jana tulikuwa tumelewa sana
Unakumbuka vile tuliachana
Peleka ufala na huko)
Zikikuja zimekam, hakuna ku-escape
Kwa hivyo angalia ni nani unaroll nao
Zikikam zimekam, hakuna ku-escape
Kwa hivyo angalia ni nani unaroll nao
Zikishuka itupate tao
Hii hainanga hata mbio
Hatukunywi juu ya huzuni
Tunalewa mafanikio
Kwenye Macaviar, ma-Christian dior
Sherehe zimetick ni ka ballon D’or
Shine ka VR, ata ata kuchoma ume-
Kesho yake kuamkia it’s all coming back to me
Celine Dion, slap huyo mtiaji
Unaeza sema ni Pirates of the Carrebean
Na umecarry ma beer
Mtu si agote huyo captain ma macheers
Big ship sailing haitaki mahasira
Au mtu yeyote anaweza kutuharibia
Nimekuja kuskia, sio kutulilia
Tumekuja kuwaimbia, sio kuwaibia
Mi kama kaliman, ju life pia ni hard
Nataka piece ya land hio side ya Diani
Ndo nimeboard SGR na submarine huh
Inakaa na deer
Na wanyama wote on board ni ka safina
Ni party hauwezi crush
Ka Titanic wasee watashindwa hii ni mawe gani
Au ni- vile si hukata maji
Zikikuja zimekam na hazinanga reverse
(Au ni- vile si hukata maji
Zikikuja zimekam na hazinanga reverse)
Zikikuja zimekam, hakuna ku-escape
Kwa hivyo angalia ni nani unaroll nao
Zikikam zimekam, hakuna ku-escape
Kwa hivyo angalia ni nani unaroll nao
Zikikuja zimekam, hakuna ku-escape
Kwa hivyo angalia ni nani unaroll nao
Zikikam zimekam, hakuna ku-escape
Kwa hivyo angalia ni nani unaroll nao
Zikaflash, enda high ka rocket
Onea dunia kwa sky usiogope
Kwenye planet, na moon shuka pole pole
Ukiturn left na right hio parachute
Kabla ujue umeland kwa the same avenue
Imeanza tena, uko kwenye marathon
Taki! Ishafanya wasee wa-go kuku
Ni ka wako madudu
Cheki msee wangu hio steam hatuiabudu
Usiworry kuhusu luku
Torokea muda ukiruhusu
Tubeless unatry jo kutubu
Kuna sumu mpya ka wewe ni wa vuvuk
Hauwezi kam na kungfu, -deng’a
Si tunaendelea kuivia ndani ya hii desert
Na ni twelve noon kitu chweza
Wanalook good lakini hawafit kwa weather
Usipende kuona nini wanaweza pull up kwa hizo masweater
Big up jeshi yangu ya Sierra
Iza jo sikukam marieba
Nilikuwa na bizna ingine ya ng’ondo mamtieja
(Iza jo sikukam marieba
Nilikuwa na bizna ingine ya ng’ondo mamtieja)