Kitu Sewer – Makali Man Lyrics

Check out “Makali Man” lyrics by Kitu Sewer on Kelxfy. “Makali Man” is off Kitu Sewer new album “Makali Man“.
Makali Man Lyrics
So hilisi zimehitch kwa mtaa yenu
Ka Yesu au GSU,
Wataiget ata ka wako pechu
Heri wahang nangos na ndechu
Washa sambuca zima cigar
Kwani unataka kutuunguza
Ka yule baite aliburn kwa duka
Oh sorry baite sa ndo nimekumbuka
Sitambui rituals, ati mababu wameitisha
So and so amengia kwa bar na miwa
Soon as I enter the club
Am hearing – screaming
Sewer ni changaa na ni tripple distill her
Ni ka coker hawaezi lala bila
Society hadi inalalamika
Lawyer wetu kuna kesi ameshinda
Na mafisi wanajua amekaivisha
Ati nitoe lock, ng’oa mlango kabisa
Lebels ka KEBS kwa tool fake
Kibao, mpaka maquarter za mbao
Na wengine ambao siwezi taja majina wako maduya
Si tuko Kitale mapuya oriji na wazee wa kijiji
Tukidiscuss utamaduni nje ya city
Izi ni secondary needs
Usiwake ni ka uko primary please
Mi hukunywa East Africa Brewery
Soma warning, I have to drink responsibly
Ka hutaki ma accidents, suicides
Na pia ma STD’s na MaP2 na magun butt za G3
Na ma P3 hizo ni PE
Kata pingu na still behind bars
Kwa mawingu ukishuka na parachute
After kuflash, ka ile movie ya Deadpool
Bila kujua ni kwa waya ya stima ndio utaland
Napoleon ni ka mother aliwaboo na party
Juu ya meza usione vile mafisi zinamwaga mate
Si nilikushow dynasty itadie, vinasty
Monarchy inamoarn ju destiny ni fupi ka distini
Ju ya vile hao ma bigfish wako kwa small pond
Na ni wastinji
Kata mbele na nyuma ulimi kama msumeno
Makali man na makali
Urefu wa makucha na ya meno
Makali man na makali
Kata mbele na nyuma ulimi kama msumeno
Makali man na makali
Urefu wa makucha na makali ya meno
Makali man na makali
Vidole mbili kwenye koo ndio nitapike
Lakini hakuna kitu inatoka
Najaribu jo zishuke lakini hazishuki
Nikisema Lynn si Ngug’i
Nikisema neat si suti
Arif yangu ametupeleka 034 Kwa Ndege
Sa tuko kwenye local
Ndio hao manjege, wanadai 50 cents
Naziita hivo juu I’m all about the dollar
Na si shillings
Nawaita witchdoctors, ju wao huuzanga spirits
Wananishow zii hii ni holy water
Hukumbuki Kitu Sewer we ndio the wizard
Kweli na drown kwa hii deep state, sifikiri
Imaginations zangu zinapepea ka vapour
Aladin hii ni part ya global population
Reduction, nyi ni laprust
Ma-elicits, wanadai test, uone reation
Wacha hizo conspiracy
Mpira si mpira bila player
Juu utakuaje na rehab bila masuperstar
Achana na mgema wa kupewa sifa
Au customer ako wa kuona giza
Ngoma ya mlevi
Only mwenda wazimu ndo ye huskiza
(Only mwenda wazimu ndo ye huskiza)