Kitu Sewer – Ka Mchele Lyrics

Check out “Kamchele” lyrics by Kitu Sewer on Kelxfy. “Ka Mchele” is off Kitu Sewer new album “Makali Man“.
Ka Mchele Lyrics
Ingia kwa local joint
Kutoa roko, kumbe nina deni
Deni ni ahadi kutoka kwa Shiko
Sa hio ako na madrunkards na
Na ma addicts wa D5
Ati hey mnajuanga huyu ni artist
Ingia kwa Guiness World Book of Records
Ju ya kukopa Guiness
Si ukunywanga supu ya metal
Jo achana na sisi
Wasee hawatambui ata idhaa ya Curfew
Saa tisa knock knock kwa Mary
Niaje, ati rada chafu
Wanadai, enhe, Kitu Sewer
Unajua hii kitu inakuwanga kwa perfume
Na hadi kwa miracle
Beshte yangu ashaanza kuzushiana
Ati unateta mi ni kalewa
Na mtoi wako ako drugs
Plus wife yako ana sponyo anapewa
Plus ni paper tu za divorce haja-sign
Washa anza fist-fight
Na kurushiana maneno na mangumi
Plus na machupa zifly
Ikabidi nimeona hii stori imeenda
Way out of line, waiter tupee round ingine
Kwa hio ngori ilibidi nimehamia County ingine
Ju ya ile ngori
Arif yangu alikuwa ametoka Saudi, nikupe story
Alidai naenda loo, na hakurudi, end of story
Security, security, we have a problem
Somebody is sleeping in the toilet
One hour Ali alimake another terible mistake
Hio ni abbreviaiton ya ATM, kwa wale hawajaiget
Kata maji, bila maji na kitu ya kudigest
Na ako na msupa sai, hauski arif anadigest
Nikamshow chill, akanshow ah-ah vile ako dryspell
Na ako na float, na atadai mpaka pub
Si hao tushaondokea pub
Ndoko ashadai kuna ka nearby
Tuitishe ka nyamchom
Na bwegze tubaridi twa ku-match
Kumbe – ameendea toko
Na macredit cards na wamemspike
Mi niko backseat
Kwenye ma FatJoe, ma Busta Rhymes
Si tukaingia mahali tuko sai
At the present time
Aref alitusare kwa table
Higher room piga cable
Githurai Kevo, watajuaje ako na Ken
Na ako able
Hauskii hivo ndo tulimuokota
Akiwa kwa toile
Alafu masanse wakaitwa
Si tukaondokea kesi
Nikahama County