Marioo ft Mr Nice – Shisha Lyrics
Check out “Shisha” lyrics by Marioo featuring Mr. Nice on Kelxfy.
Shisha Lyrics
(It’s S2kizzy beiby)
King’asti I need you, I love you
King’asti I need you, I love you
(Huo ni uongo)
Aloooh!
Eeeh sitegeki aiseee
Eeeh sitegeki aiseee
Nishakwambia sipendeki aisee
Eeeh sitegeki aiseee
We nani hasa uniendeshe kama mamaangu
Toka hapa
We nani hasa uniendeshe kama babaangu
Toka hapa
Moyo wangu ushaota sugu
Siwezi kupendana
Aku mie mwenzako
Napenda shisha, me nataka shisha
Shisha shisha shisha shisha
Napenda shisha
Me nataka shisha
Shisha shisha shisha shisha
Alooooh Mmmmh
King’asti I need you, I love you
King’asti I need you, I love you
(Huo ni uongo)
Kama unanipenda kaninunulie gari (Show)
Kama unantaka kannulie nyumba (Show)
Kama unanipenda kaninunulie gari (Show)
Kama unantaka kaninulie nyumba (Show)
Moyo wangu ushaota sugu
Siwezi kupendana
Aku mie mwenzako
Napenda shisha, me nataka shisha
Shisha shisha shisha shisha
Napenda shisha
Me nataka shisha
Shisha shisha shisha shisha
Alooooh Mmmmh
Woi woi woo.. woi woi woooh..
King’asti I need you, I love you
King’asti I need you, I love you
(Huo ni uongo)