Marioo – Statue Lyrics ft. Fathermoh, Sean MMG, Ssaru & Motif
Check out “Statue” lyrics by Fathermoh, Sean MMG, Ssaru and Motif Di Don on Kelxfy.
Statue Lyrics
Piga smile cheki cam gapi statue
Nakulike nakumark we ni tattoo
Thigitha githinya siaga gwadu
Unabend pause alafu unararu
Piga ah, piga ah, piga statue
Inua mkono alafu cheza na mguu
Piga ah, piga ah, piga statue
Nakulike, nimekumark kama tattoo
Simama tete, piga one legeh
Tingiza kichwa ni ka zimeshika gwethe
Kispaki anguka nayo twende
Hapa ni kudance, kubanju kama daily
Si upige makofi utachoka mikono itauma
Na utamiss nyingine, unanijua unaniskia
Si upige makofi utachoka mikono itauma
Na utamiss nyingine, unanijua unaniskia
Uno uno, bailando, Orlando
Unanijua unaniskia?
Uno uno, bailando, Orlando
Unanijua unaniskia?
Piga ah, piga ah, piga statue
Inua mkono alafu cheza na mguu
Piga ah, piga ah, piga statue
Nakulike, nimekumark kama tattoo
Ngoma nayo ni kali unafanya nini ukikaa?
Wabaki wametuseti wakituchoma mavela
Ju – sa itabaki wamehema
Na ati mimi ndo kadere sa itabaki nimehepa
Na sicheki ahh
Doba ishatubamba unaweza rudia selekta
Leo zitashika sana ju mababy wamebeba
Moja mbili tatu, cheki DJ ashatubeba
Pull up pull up selekta
Pull up pull up selekta
Ah City City girl
I wanna set it for you
Leo uko na pretty girl
Nipee breakfast for two
Unanibamba ukiwa juu
Na unanigandisha miguu
Na ukichokeshwa na stool
Tutamaliza tu kwa pool
You want another one
Come take it from me
Nimebeba motherland
Si udig it for me
Si udig it for me
Si udig, si udig
Si udig it for me
Piga ah, piga ah, piga statue
Inua mkono alafu cheza na mguu
Piga ah, piga ah, piga statue
Nakulike, nimekumark kama tattoo