Mauru Gwash x JayLo – Story Teller Lyrics (ThirtyFourBrick)
Check out “Story Teller” lyrics by ThirtyFourBrick artists Mauru Gwash featuring JayLo on Kelxfy.
Story Teller Lyrics
34Brick, block imesunda clips
Block imesunda clips
Block imesunda clips
Tulitrace uyo opp na deng’a
Scene hajai ona tena huku Kenya
Na sidhani alisurvive kukuwa storyteller
Aiyayai aiya aiya, aiyayai
Ka ni beef na mimi jo
Rudi church uduu maombi tena
Mi utembea na glock imevunja haijai chekesha
Nakumbuka back then dunga MPESA
Kadere nilijua ni kadera
Girimba kila chuom lakini siogopi
Najua lazima hapa ntahepa
Bling nimepiga inafanya opp boy anatetemeka
Shughli kabarida mi sijai teveva
Last year karibu nizame lakini cock hio deng’a tena
Nilizaliwa ku-cruise izi streets
Piga scene tena na tena na tena
Aiyaya aiyaa aiyaayai
Tulitrace uyo opp na deng’a
Scene hajai ona tena huku Kenya
Na sidhani alisurvive kukuwa storyteller
Aiyayai aiya aiya, aiyayai
Usichochwe na ma charji
Na uniletee hio chest
In the bando chilling
Middle finger kwa wasoro
Kwa hii beat ninaflow za ki express
Mbleina ni rat, anaskii kwa opp
Na land in perks
Mbogi imekrome design ya ki-pack of Wuzu
Usijiite G na we ni snitch haifai
Stop the yapping, tebu clarify
Naona uko na boil —
Ni zogo imesunda ki-private too
Never deal na ma-outsiders
And fck backbitters
Acha kuomba kitika hio ni tabia ya wasoro
Shawty anadai twende tutumie bundle
Tufanye marampy puffy
Mistari ni dirty, inafaa kupigwa masanitize
Table, stanna man anatii sleep like a baby
Kwa biz utaona mengi
Kila day ni madifferent tune man
Hii ni proper tune
Tulitrace uyo opp na deng’a
Scene hajai ona tena huku Kenya
Na sidhani alisurvive kukuwa storyteller
Aiyayai aiya aiya, aiyayai