Mbosso – Amepotea Lyrics
Read “Amepotea” lyrics by Mbosso on Kelxfy. “Amepotea” is a Swahili word that means “he is lost“. The song talks about how Mbossso has fallen and lost in love. The audio was produced by Tanzanian producer Lizer Classic and the video was shot and directed by Director Ivan from Tanzania.
Amepotea Lyrics
Vipeperushi vinasambaaa
Eti natafutwaaa
Nimepotea, wiki imekata
Ndugu wamechachamaa, wananitafuta
Nimepotea mwezi imekata
Kazini sionekani, yupo wapi huyu?
Simuni sipatikani, yupo wapi huyu?
Baba kaniulizia, yupo waapi huyu?
Mama aishi kulia, yupo wapi huyu?
Mimi!
Nimezama katika kina kirefu
Cha bahari ya mapenzi
Nimezama katika kina kirefu
Cha bahari ya mapenzi
Sio ya Andit Purre mwana Rajabu
Mlomkuta Tanga
Sijafanywa msukule msipate tabu
Kumaliza waganga
Amenirudisha shule
Hesabu maumbo kupanga
Penzi lawa sasa mbule
Lenye protini vitamini na wanga
Aaah ladha yake, si sukari
Ni vichenza na malimao
Mechi zake huwa hatari
Ni chenga na mabao
Kazini sionekani, yupo wapi huyu?
Simuni sipatikani, yupo wapi huyu?
Baba kaniulizia, yupo waapi huyu?
Mama aishi kulia, yupo wapi huyu?
Mimi!
Nimezama katika kina kirefu
Cha bahari ya mapenzi (Msinitafute)
Nimezama katika kina kirefu (Msihangaike)
Cha bahari ya mapenzi
Nipo salama mimi
Nipo salama mimi
Msinitafute niko salama mimi
(Kamix Lizer)