Mr Tee – Physically Fit Lyrics
Check out “Physically Fit” lyrics by Mr Tee, a Kenyan upcoming artist best known for his song “Digii”. “Physically Fit” is an arbantone song that talks about a beautiful girl.
Physically Fit Lyrics
Physically ako physically
Physically, physically, physically fit
Ako physically, physically
Physically, physically, physically fit
Cheki, nikicheat mi bado niko loyal
Nikicheat mi bado niko loyal
Physically, ako physically
Ako physically, physically, physically fit
Alikam jo, kunituliza
Kutulia, akanipuliza
Fare nikalipa na Fuliza
Kama vaite nashikisha kwa Nissan
Physically, physically
Ako physically, physically, physically fit
Ako physically, physically
Physically, physically, physically fit
Nitakusesa mi sio Seska
Niko na headrush, Papa Fadhela
Nelson Mandela mi ndio omega
Victoria where is Omera?
Seti debe napenda sembe
Mi ni wembe mlime kama jembe
Hatupendagi warazi
Shida zako pelekea wazazi
Wananistream wakinicheki wanascream
Nitampaka cream akicheza na hizo hips
Wananistream wakinicheki wanascream
Nitampaka cream akicheza na hizo hips
Physically, physically
Ako physically, physically, physically fit
Ako physically, physically
Physically, physically, physically fit
Mi ni Safcom nakudata
Na leo nimekuja na ubaya
Nakutaka ninahanjam
Uko na kutu nikupige
Niko na quarter, wapi wapoa?
Cheza doba akitoa toja
Skele wuu aliskip to my room
Huyo dem ni bride mii ndio the groom
Wacha pressure, punguza temper
Nitakupepeta utatetemeka
Most wanted niko corrupted
Mi ni veteran si vegeterian
Mi si karanja niko na kiranja
Kwa kiwanja nitawakaranga
Ganja farmer ako kwa kibanda
Nilimparalyze pale paradise
Row iyo boat anadai nimpee raw
Row iyo boat anakuita bro
Row iyo boat anadai nimpee raw
Row iyo boat anakuita bro
Row iyo boat anadai nimpee raw
Row iyo boat anakuita
Row iyo boat anadai nimpee raw
Row iyo boat anakuita bro