Cap CC ft. Mondichino – Katika Lyrics

Check out “Katika” lyrics by Cap CC featuring Mondichino on Kelxfy.
Katika Lyrics
Za Mabuda, Za mabuda
Usinitrace mawikendi siko rima
Niko club na mabro tunakatika
Niko on siezi kosa shash na rizla
Zimeshika akalia bro hebu zima
Hebu zima hio ngwai, hebu zima hio ngwai
Keti chini pitishiwa kwanza we ulijidai
Hebu zima hio ngwai, hebu zima hio ngwai
Ukianguka unaamshwa hata ka umezirai
Usinitrace mawikendi siko rima
Niko club na mabro tunakatika
Niko on siezi kosa shash na rizla
Zimeshika akalia bro hebu zima
Hebu zima hio ngwai, hebu zima hio ngwai
Keti chini pitishiwa kwanza we ulijidai
Hebu zima hio ngwai, hebu zima hio ngwai
Ukianguka unaamshwa hata ka umezirai
Usinitrace mawikendi siko rima
Niko club na mabro tunakatika
Niko on siezi kosa shash na rizla
Zimeshika akalia bro hebu zima
Hebu zima hio ngwai, hebu zima hio ngwai
Keti chini pitishiwa kwanza we ulijidai
Hands in the air, amesurrender zimewai
Hizi movie ni za mabuda kutoka day hadi night
Skiza doba iko na flow ka River Nile
Ka ni doh sidai — nadai nine
911 unacall mambaru why?
Ju ya XYZ nilifanya na your wife
No apology apa bro tuko site
Na alisema uko down mi niligonga na syke
Usinitrace mawikendi siko rima
Niko club na mabro tunakatika
Niko on siezi kosa shash na rizla
Zimeshika akalia bro hebu zima
Hebu zima hio ngwai, hebu zima hio ngwai
Keti chini pitishiwa kwanza we ulijidai
Hebu zima hio ngwai, hebu zima hio ngwai
Ukianguka unaamshwa hata ka umezirai
Wakisha kingwai, ndo hiki kinare
Kimoja kikam hivi kingine ile upande
Kama airways ah, lazima zipande
— nguo naacha zirarukane
Ni wikendi leo siko within
Na ukinikosa club kam nyuma zabe ya Vaite
Na umesleki sana jo buda
Mpoa wako anadai hii ndizi
Ati we humpea matoke
Hebu hebu katika
Nayo leo ni kujinice
Kakizoza mchana ni hadi giza katakatika
Ikibamba sana usishout tingiza kichwa
Drinks na mashisha na madenge wanatingiza
Usinitrace mawikendi siko rima
Niko club na mabro tunakatika
Zililipuka morio wangu akazima
Maskini akapata amegongewa
Ni za kibuda ushaziskizia
Next time ukikam hutavuka na hio pupa
Ni za kibuda ushaziskizia
Next time ukikam hutakuwa na hio pupa
Usinitrace mawikendi siko rima
Niko club na mabro tunakatika
Niko on siezi kosa shash na rizla
Zimeshika akalia bro hebu zima
Hebu zima hio ngwai, hebu zima hio ngwai
Keti chini pitishiwa kwanza we ulijidai
Hebu zima hio ngwai, hebu zima hio ngwai
Ukianguka unaamshwa hata ka umezirai