Sean MMG – Papa Jah Lyrics
Read “Papa Jah” lyrics by Sean MMG on Kelxfy.
Papa Jah Lyrics
(Skiza Magi magi..)
Nani mwingine ka si Papa Jah
Kama si yeye ningelala njaa
Na manze kama si wewe
Ingekuwa ni mwingine
Basi dream zangu zote zingetapakaa
Nauliza nani mwingine ka si Papa Jah
Kama si yeye ningelala njaa
Na manze kama si wewe
Ingekuwa ni mwingine
Basi dream zangu zote zingetapakaa
Mi namwita Jemedari
Papa God kunilinda mtaani
Nikiwa na wewe hakuna kitu natamani
Mi niepushe nikae mbali na hatari
Maadui na mabani namwita Jemedari
Mi namwita Jemedari
Papa God kunilinda mtaani
Nikiwa na wewe hakuna kitu natamani
Mi niepushe nikae mbali na hatari
Maadui na mabani-
Okay lemmi confess, kwa kina shosh
Mokoro mi nasema thanks
Nikikutaja tu na kitu mi na-mess
Na ndo maana kwako nakaa bila stress
Haubahatishangi kwako invest
Ah-ah na confess
Na ndo maana kwako nakaa bila stress
Na manze kila siku Papa God unanibless
Ntakushukuru aje mi nashindwa ku express
Papa God apewe sifa
Ju kila siku hakuna kitu inamshinda
Kijana mdogo sahizi anahesabu mamita
Milango zinafunguka bila mashida
Ka daily nabambika
Papa God apewe sifa
Ju kila siku hakuna kitu inamshinda
Kijana mdogo sahizi anahesabu mamita
Milango zinafunguka bila mashida
Ka daily nauliza?
Nani mwingine ka si Papa Jah
Kama si yeye ningelala njaa
Na manze kama si wewe
Ingekuwa ni mwingine
Basi dream zangu zote zingetapakaa
Nauliza nani mwingine ka si Papa Jah
Kama si yeye ningelala njaa
Na manze kama si wewe
Ingekuwa ni mwingine
Basi dream zangu zote zingetapakaa
Mi namwita Jemedari
Papa God kunilinda mtaani
Nikiwa na wewe hakuna kitu natamani
Mi niepushe nikae mbali na hatari
Maadui na mabani namwita Jemedari
Mi namwita Jemedari
Papa God kunilinda mtaani
Nikiwa na wewe hakuna kitu natamani
Mi niepushe nikae mbali na hatari
Maadui na mabani-
Nilianza nikiwa dancer
Sai mi ni G na mangoma nazimaster
Tukizitoka na machaji bila blunder
Na kwa mahater mi najua utawapanga
Kwanza very faster
Nilianza nikiwa dancer
Nakuja mbio kushinda gari za Nascar
Ju kwa maombi ulijibu very faster
Na kwa mahater mi najua utawapanga
Kwanza very faster
Nilianza nikiwa dancer
Nakuja mbio kushinda gari za Nascar
Ju kwa maombi si ulijibu very faster
Na kwa mahater mi najua utawapanga
Wote wa makata
Papa God apewe sifa
Ju kila siku hakuna kitu inamshinda
Kijana mdogo sahizi anahesabu mamita
Milango zinafunguka bila mashida
Ka daily nabambika
Papa God apewe sifa
Ju kila siku hakuna kitu inamshinda
Kijana mdogo sahizi anahesabu mamita
Milango zinafunguka bila mashida
Ka daily nauliza
Nani mwingine ka si Papa Jah
Kama si yeye ningelala njaa
Na manze kama si wewe
Ingekuwa ni mwingine
Basi dream zangu zote zingetapakaa
Nauliza nani mwingine ka si Papa Jah
Kama si yeye ningelala njaa
Na manze kama si wewe
Ingekuwa ni mwingine
Basi dream zangu zote zingetapakaa
Mi namwita Jemedari
Papa God kunilinda mtaani
Nikiwa na wewe hakuna kitu natamani
Mi niepushe nikae mbali na hatari
Maadui na mabani namwita Jemedari
Mi namwita Jemedari
Papa God kunilinda mtaani
Nikiwa na wewe hakuna kitu natamani
Mi niepushe nikae mbali na hatari
Maadui na mabani-