Zuchu “Chapati” Lyrics with Translation
Read “Chapati” lyrics by Zuchu on Kelxfy. “Chapati” is a Bongo Flava amapiano song produced by Mr. LG.
Chapati Lyrics
Aaah aah aah…
LG, aah, LG
Aaah aah aah…
(Mr LG)
Dulla, Dulla, Dulla
Anataka kula
Dulla hataki andazi
Anataka kula
Dulla hataki viazi
Dulla anataka kula,
Dulla, Dulla, Dulla
Anataka!
Basi
Kitendawili (Tega)
Kitendawili (Tega)
Kitendawili (Tega)
Kitendawili (Tega)
Kitu flati, kitu laini
Katikati alie na maini
Kitu flati, kitu laini
Katikati alie na maini
Chapati! Chapati!
Chapati! Chapati!
Chapati! Chapati!
Chapati! Chapati!
Achuchuu…chi chi chi chi
Achuchuu…chi chi chi chi
Chapati! Chapati!
Chapati! Chapati!
Kwani mmeiweka nini mimi naipenda
Kwani mmeweka nini mimi naitaka hiyo
Kwani mmeiweka nini mimi naipenda
Kwani mmeweka nini mimi naitaka hiyo
Inateleza, Tamu inateleza
Inateleza, Tamu inateleza
Basi
Kitendawili (Tega)
Kitendawili (Tega)
Kitendawili (Tega)
Kitendawili (Tega)
Kitu flati, kitu laini
Katikati alie na maini
Kitu flati, kitu laini
Katikati alie na maini
Chapati! Chapati!
Chapati! Chapati!
Chapati! Chapati!
Chapati! Chapati!
Achuchuu…chi chi chi chi
Achuchuu…chi chi chi chi
Chapati! Chapati!
Chapati! Chapati!
(The Mix Killer)
Chapati English Translation
Aah aah aah…
LG, ah, LG
Aah aah aah…
(Mr LG)
Dulla, Dulla, Dulla
He wants to eat
Dulla doesn’t want an andazi
He wants to eat
Dulla doesn’t want potatoes
Dulla wants to eat,
Dulla, Dulla, Dulla
He wants!
Then
Riddle (Tega)
Riddle (Tega)
Riddle (Tega)
Riddle (Tega)
Something flat, something smooth
In the middle of the liver
Something flat, something smooth
In the middle of the liver
Bread! Bread!
Bread! Bread!
Bread! Bread!
Bread! Bread!
Achuchuu…chi chi chi chi
Achuchuu…chi chi chi chi
Bread! Bread!
Bread! Bread!
Why did you put it, I like it
Because what have you put I want that
Why did you put it, I like it
Because what have you put I want that
Slipping, Sweet sliding
Slipping, Sweet sliding
Then
Riddle (Tega)
Riddle (Tega)
Riddle (Tega)
Riddle (Tega)
Something flat, something smooth
In the middle of the liver
Something flat, something smooth
In the middle of the liver
Bread! Bread!
Bread! Bread!
Bread! Bread!
Bread! Bread!
Achuchuu…chi chi chi chi
Achuchuu…chi chi chi chi
Bread! Bread!
Bread! Bread!
(The Mix Killer)