Habarimbaya – Girlies Lyrics
Check out “Girlies” lyrics by Kenyan rapper Habarimbaya (HM) on Kelxfy. “Girlies” is abantone song by Habari Mbaya which talks about the Kenyan urban culture, it samples “Kwaheri” by Jua Cali.
Girlies Lyrics
Si unajua, kila saa, kila day
Yoh yoh yoh huh, ati
Niko kwa keja nimechill na ma girlies
Ka haupendi ngoma zangu basi we ni managirlies
Shakes mi sidai– sidai na
Bado kwa hizi streets tunazipush hadi Ruai
Niko kwa keja nimechill na ma girlies
Ka haupendi ngoma zangu basi we ni managirlies
Shakes mi sidai– sidai na
Bado kwa hizi streets tunazipush hadi Ruai
One call nikuletee sai sai
Hop on your story hunipati bye bye
Ngoma zenyu zinasound kama tu ma lullaby
Na jokes zenyu, hizi pande siwezi buy
Niko na ex kila time huniuliza baby why?
Na mi niko keja nikimwagia baby wine
Na kaki whine, mi namwaga hio –
She a ten, cheki figa, Sinyorita ako fine
Naleta presha
Nafanya best rapper wako anakaa kama fresher
Niko maziwa walai utadhani ni, fresh on top
Nafika so soon
Ni red kama damu utadhani niko kwa –
Nimechill na ma girlies
Ka haupendi ngoma zangu basi we ni managirlies
Shakes mi sidai– sidai na
Bado kwa hizi streets tunazipush hadi Ruai
Niko kwa keja nimechill na ma girlies
Ka haupendi ngoma zangu basi we ni managirlies
Shakes mi sidai– sidai na
Bado kwa hizi streets tunazipush hadi Ruai
Ka ni ngwai unaweza washa
Bric pon bric hizi ni roots za Akasha
There is a party next door
Na huyo jirani huniita crush
Mi humshow kila round lazima alipe cash
Ka si cash, basi pass, siwezi smash hio nyap
Pale gram ni manyash
Kila time nikiswipe mi nacheki tu manyash
Wengine wako busy wakikinda tu manyas
Wengine wa kukam washajiona maplug huh
Toka kitambo I’m a badman
Toka kitambo hawa marapper wananing’am
Toka kitambo mi huchill na my fahm
Mi huchill na my fahm
Niko kwa keja nimechill na ma girlies
Ka haupendi ngoma zangu basi we ni managirlies
Shakes mi sidai– sidai na
Bado kwa hizi streets tunazipush hadi Ruai
Niko kwa keja nimechill na ma girlies
Ka haupendi ngoma zangu basi we ni managirlies
Shakes mi sidai– sidai na
Bado kwa hizi streets tunazipush hadi Ruai
Nitapiga rap hadi ile siku nitadie
Nitapiga rap mpaka siku mi nitadie
Nitapiga rap hadi msupa wako atanidai
Nitapiga rap yoh, nitapiga rap huh