Scar Mkadinali – Supu ya Pweza Lyrics
Check out “Supu ya Pweza” lyrics by Scar Mkadinali on Kelxfy. “Supu ya Pweza” is a solo rap single by Wakadinali member, Scar who is best known for his hard bars and punchlines.
Supu ya Pweza Lyrics
Yoh for real, you already know men
You already know
Rong Rende, you know that men
Hahaha, for real
Naeza kupiga mabare
Ju we ni puny unijibu na madiss
Ni ngumu mimi na wewe tufanane
Zako mutumba buda, zangu nili-ship
Wasupa wangu wote ni mayungin’
Kutoka 19, mwisho 23
Kutoka hapo huyo anaitwa munyanye
Wajaka husemaga ‘mano oseti’
Utangoja, ungoje ungonjeke
Ndio mi niishe utakuwa mortuary
Benz manual ndio niwaonyeshe
Gang gang, ndo huwa automatic
Ushaipanda ndege na mandege
Ushaifanyaga mubebe awabebe
We ni mtoto mdogo na umejaza nyege
Kwanza ebu jipanguze makamasi!
Haha, skiza, hakuna favours
Kama ni yangu na umekula tema
Huko Mtwapa, wasupa mateja
Aisha alijuta kunipa supu ya pweza
Mtagharamia
Saa ingine nasahau wakidi wanatuangalia
Ni msoft na ni hard nje ka makadamia
Broda here akicheka anakaa analia
Ama ni izi madree
Zile zimejaza baze
Mabang’a walikuwa wananichase
Kunibamba nikasema nilidhani tuna-race
Look, real niggas got co-sign
Gang niggas got no profiles
If you know me, you know you don’t cross side
You know what they say, rich niggas don’t stop by
And we give it to the most high
Just bought a land, and it’s goes like
I don’t wanna say it mtasema ninachocha
Like how the fck did he make it in a short time
Mmmh, cash, how I paid it
If you see it on my neck, that’s half a KG
Skiza, si huifanya daily
If you see him on my side, that nigga crazy
Commercial mi sifiki mi ni lazy
Still underground, down here they call me-
Nikiuza mtanunua, — nakuchai nikimoon walk
Na madelays hanaku, a few blows
Na uteme tobacco
Na usikunywe pombe mingi upumbafu
Na unajua vizuri uko na siri za watu
Uh, are you with me decide bro
If you are ready, we make history tonight bro
The white lady almost killed me in –
Hata ufanye nini hatukai broke
Make money off weed, greed and shylock
Alitry kucheza na munyu akacheza na chai moto
Hii maandamano si mangwangi wamepona
Hii inamark enzi ya Shakahola
Huh, ni funny I feel nothing
Hii usanii imefanya I feel nothing
Na Carrie Watu ameshinda aje
Mwambie Scarde anauliza ni shi-ngapi
Huh, ni funny I feel nothing
Hii usanii imefanya I feel nothing
Na Carrie Watu ameshinda aje
Mwambie Scarde anauliza ni shi-ngapi
Naeza kupiga mabare
Ju we ni puny unijibu na madiss
Ni ngumu mimi na wewe tufanane
Zako mutumba buda, zangu nili-ship
Wasupa wangu wote ni mayungin’
Kutoka 19, mwisho 23
Kutoka hapo huyo anaitwa munyanye
Wajaka husemaga ‘mano oseti’
Utangoja, ungoje ungonjeke
Juu mi niishe utakuwa mortuary
Benz manual ndo niwaonyeshe
Gang gang, ndo huwa automatic
Huh, skiza, hakuna favours
Kama ni yangu na umekula tema
Huko Mtwapa, wasupa mateja
Aisha alijuta kunipa supu ya pweza
One Comment