Addifar – Movie Lyrics

Check out “Movie” lyrics by Addifar on Kelxfy.
Movie Lyrics
Clarks juu ya nduthi
Part 1 tushakill weka 2 hii ni movie
Change hio disk alafu tuwashe doobiez
Take hio risk, ni masaa za kuduu biz
Weekendi Uber chap kwenye clarks juu ya nduthi
Mi nawaka tu madoobiez
Alafu ndio nidu biz
Nawaka tu mazaza
Naanza tu kuwaka
Tuko Ng’ara tu Plaza
Beat inabang bang bang na ni maza
Streets ni mabang bang boom ka ni Gaza
Streaks zinakam come come zimewaka
Nyap inakam come come na kumepaka
Budz kwenye gram gram utazipata
Hakuna haraka
Part 1 tushakill weka 2, hii ni movie
Change hio disk alafu tuwashe doobiez
Take hio risk, ni masaa za kuduu biz
Weekendi Uber chap kwenye clarks juu ya nduthi
Mi hupendaga maBands na maClarks na maPussy
MaLap na maLugz na maclarks, juu ya pussy
1 2 The 3 Yooh my G, ii ni movie
Chill na my G’s na hatupendagi upuzi
Playlist ni ya DiGGA nikimpea tu ki D
Na juu naplay na list si lazima tu CD
Mpoa I am kidding na anadai mkidi
Kwa rima nia niggas wana adi makidi
Ririma tu ma nigga ndio tupate zaidi
Kulipua tu manigga utadhani gaidi
Kidogo niende viral nikadhani ni virusi
Kidogo nipande mat waaze kubonga tu matusi
“Na muache kunibomoleanga sura ii design”
Kwenda uko wewe, “Thao Tatu, story inaisha”
“Bie badeng” Wazii
Io deal kuna venye tungeishikisha
Si basi round io ingine ni wewe utatuchapia
Aiyaa, mi najua kusoma body language
Part 1 tushakill weka 2 hii ni movie
Change hio disk alafu tuwashe doobiez
Take hio risk, ni masaa za kuduu biz
Weekendi Uber chap kwenye clarks juu ya nduthi