Sewersydaa – Eastlands Lyrics ft. Skillo
Check out “Eastlands” lyrics by Wakadinali member Sewersydaa featuring Skillo on Kelxfy. “Eastlands” is off Sewersydaa’s new album “Mauru Unit”.
Eastlands Lyrics
Fck manze hii area inakatsia jo
Mambo ya ofisi nini kufyeka
Hanaku form sindio
Aaah, acha nipigie nani
Nipigie Skillo, simu haingii
Simu haingii jo
(HR Pump hio track bana)
Hallo Skillo ni Sewer (Ah sema driller)
Eastlands kunasema aje, najua nimeficha
Mmmh luku bado kibla wa mangita
Tunasaka form hatujalalisha
Na Brayo aliacha mzinga
Naskia Vayo alimarika
Mi niliacha kushikisha
Wera imenishikanisha
Acha nikupe riba watu walibadilika
Wengine wakatajirika hata wakahama Eastlands
Mi nawish huku manze ata singewai fika
Nilikuja kujaza mfuko, si unajua mi bado mziza
Lazima nidunge Timber, mtaa nilipe stima
Na sinaga hata dakika lakini nina pesa ka shida
Wana gari ka zetu but ni za kufinya si ignition
Mnisa ana ganji tho’ kuliko politician
Huku huwezi piga dem law za FIDA zimeshika
Na unadeal na agents hakunaga cha mdealer
Siezi osa kuwashinda though
Hadi mi huoshea tajiri chrome
Napiga hadi three jobs
Almost kupata free loan
Foods ni za GMO almost kuenda chemo
Nakushow niko kwa system
Lakini ni ka iko on steriods
It’s still coins au notes, hawachukuangi hongo
Cabro kwa esto hakunaga ata potholes
Si choice yangu, racism bado iko
Rejoice mtu wangu ka we bado uko huko
Hallo Skillo ni Sewer (Ah sema driller)
Eastlands kunasema aje, najua nimeficha
Mmmh luku bado kibla wa mangita
Tunasaka form hatujalalisha
Na Brayo aliacha mzinga
Naskia Vayo alimarika
Mi niliacha kushikisha
Wera imenishikanisha
Acha nikupe riba watu walibadilika
Wengine wakatajirika hata wakahama Eastlands
Ni harakati za usherati na mihadarati
Ka siteremshi glasi, nateremsha panty
Smile coz I’m happy
Hata nikikosa something, kata ribbon na makasi
Ndipo tukate maji
Returns za hustling
Hadi natamani ungeniskiza ubaki
Haungeenda mahali
Oti alishamarry, Georgi aliwai gari
Hatutulii tu mtaani, we are smoothly running
Shughli bado ni ile tu, mlima tunaskuma
Lakini sio zile zetu, hizi ni za kumuja
Wa East si wa kwetu huskii jo ni wa Runda
Malgan safi ndechu ndo tunawakula
Greencard haimanishi green pasture
Kama waafrica, we need to learn that
Ukiland a job haufai kulala jo
Ikuwe ni London, job back to the —
Hallo Skillo ni Sewer (Ah sema driller)
Eastlands kunasema aje, najua nimeficha
Mmmh luku bado kibla wa mangita
Tunasaka form hatujalalisha
Na Brayo aliacha mzinga
Naskia Vayo alimarika
Mi niliacha kushikisha
Wera imenishikanisha
Acha nikupe riba watu walibadilika
Wengine wakatajirika hata wakahama Eastlands