Sean MMG ft. YBW Smith – Dear Mama Lyrics
Check out “Dear Mama” lyrics by Sean MMG and YBW Smith on Kelxfy.
Dear Mama Lyrics
Alaa, skiza Magi Magi
Uh, miezi tisa bila worry
Manze mum alinibeba mgongoni
Akanionyeshanga njia mahali mimi nayo sioni
Mummy nashukuru, kijana wako sai ni ngori
Uh, miezi tisa bila worry
Manze mum alinibeba mgongoni
Akanionyeshanga njia mahali mimi nayo sioni
Mummy nashukuru, kijana wako sai ni ngori
Dear mama,
Mi nakumbuka ukisema hutaniwacha
Time ulienda sikujua kenye ntafanya
Siz ako home itabidi nimekaza
Itabidi nimewaka ndo nipunguze maswara
Bro ako chuo na ni mimi namcover
Buda alitusare sai inabidi nikue rada
Mpaka bro msmall akaanza kuniita baba
Ilifika point tukakosa kwa kulala
It’s so sad tulikuwa tunasuffer
Hakuna kama mama mi nazidi kumhata
Ju place niko sai mi najua najibamba
Kitu mi humiss ni kutaja jina mama
Uh ni kutaja jina mama
Kitu mi humiss ni kutaja jina mama
Uh ni kutaja jina mama
Kitu mi humiss ni kutaja jina mama
Uh, miezi tisa bila worry
Manze mum alinibeba mgongoni
Akanionyeshanga njia mahali mimi nayo sioni
Mummy nashukuru, kijana wako sai ni ngori
Uh, miezi tisa bila worry
Manze mum alinibeba mgongoni
Akanionyeshanga njia mahali mimi nayo sioni
Mummy nashukuru, kijana wako sai ni ngori
Miezi tisa bila worry ni ngori
Mama ndo najua ananipingianga stori
Vile alikazana hawezi taka nikuwe ngondi
Mimi ni wa kwanza so kwake mimi ni trophy
Siwezi kumwangusha manze hio ndo inanitisha
Mama uko juu siwezi ata kuaibisha
Nikujenge kinyumba imejazana na madirisha
Uonyeshe nao ni nini kijana wako analipia
Mama anacheza role mbili naeza mwita baba
Ye ndo alinifundisha kuomba our Father
Alicheki niko lonely akanisunda na kibrother
Mummy ulijituma I’m so proud to call you mama
Anacheza role mbili naeza mwita baba