YBW Smith – Niko Na Dem Lyrics
Check out “Niko na Dem” lyrics by YBW Smith on Kelxfy. “Niko na Dem” is a sheng word that means I have a girlfriend.
Niko na Dem Lyrics
Niko na dem mwenye ako na dem pia
Masaa flani ikifika nawachangamkia
After scene kabaridi siezi nikatulia
Waiter leta mzinga mbili na upitishe beer
Niko na dem mwenye ako na dem pia
Masaa flani ikifika nawachangamkia
After scene kabaridi siezi nikatulia
Waiter leta mzinga mbili na
Selecta ni Rambo na MC ni Zediambo
Huwanga mbaya sana akiweka Go Pato
Miondoko, hii mchezo nilianza kitambo
Zile enzi kali akishikilia milango
Nimekuja na moto design ya volcano
Dandia kimat mi nashukia commercial
Nipate Gode safi tukaseti na machaji
Foreign, Malawi wikendi ni kwa nani?
Tumehire gari weka Wakadinali
Cheki kwanza ebu search “ulikuwa wapi”
“Umoroto” then umalize na Octo
Alafu nimekumbuka usisahau ya Okwonko
Hii ni big tune kuwabeba ka Raburu
Picha moja safi utadhani si ni madungu
Joe Mfalme mix zake safi safi
Washa moja fiti niskie fiti
Niko na dem mwenye ako na dem pia
Masaa flani ikifika nawachangamkia
After scene kabaridi siezi nikatulia
Waiter leta mzinga mbili na upitishe beer
Niko na dem mwenye ako na dem pia
Masaa flani ikifika nawachangamkia
After scene kabaridi siezi nikatulia
Waiter leta mzinga mbili na
Dem ni kuhanya akipata unagwarwa
Sunday tuko church kwa father mi ni mbaba
Dem ni msupa lakini sura ya banga
Kwanza amenyanya macho yake dimanga
Mali ni safi kuliko matha wa Ngara
Labda mpate gode safi ita fire mummah
Niko high siku ya pili ndo inafuata
Chai moto inatrigger gwai ulivuta jana
Ah niko na dem mwenye ako na dem pia
Masaa flani ikifika nawachangamkia
After scene kabaridi siezi nikatulia
Waiter leta mzinga mbili na upitishe beer
Aah yooh, alaah
Yah yah