Fidel Rayd – Sitamake Lyrics ft. Unspoken Salaton, NinjaRacy, TMS Garvey, Naina
Check out “Sitamake” lyrics by Fidel Rayd featuring Unspoken Salaton, NinjaRacy, TMS Garvey, and Naina on Kelxfy.
Sitamake Lyrics
Kwa nyumba nikitoka ni kuenda kwa duka
Usiniulize ni kwanini nimekutupa
Me ata jirani anadhani nilikufa
Kesho uko free jo tumeet? (Ndajua)
Kesho ikifika niko busy nalala
Simu inalia nikitazama
Ya pili ukipiga umezidi na kata
Mi ni njaa peke unitoa kwa kitanda
Mmm mmh (Walai sita make)
Niko busy maybe hio next day
Mmm mmh (Walai sita make)
Ningekam but jua huni affect
Mmm mmh (Walai sita make)
Niko busy maybe hio next day
Mmm mmh (Walai sita make)
Walai, me jua huni affect
Na bado mi si soshi hapo social media
Kuchill na mi nakuambiaga tu digithia
Nacheka nao na hawajui kile napitia
So story zao naziruka like a leap year
Kuchill na mi mmmh mmh, naeza lipia
Ka huna form low chances mi ku appear
Up here huwanga lonely si waliwaambia
Inani affect na tokea form na huna chupa za beer
Kwa nyumba nikitoka ni ganji ama hepi
Alidhani na hufai kudhani
We medi ata hio next day sioni nikimake
Aka jam aka catch lakini bado anakaa keki
Ku sota walai inaniaffect
Nadai kuzishika ni purchase
Sioni niki make kama hatubongi prices
Peng anadai kunitrace na sioni nikimake
Akicall namchapia
Mmm mmh (Walai sita make)
Niko busy maybe hio next day
Mmm mmh (Walai sita make)
Ningekam but jua huni affect
Mmm mmh (Walai sita make)
Niko busy maybe hio next day
Mmm mmh (Walai sita make)
Walai, me jua huni affect
Walai sitamake
Ilikuwa nikam but plans jo zikachange
Tena sai jo ni late
Ata ka aijafika 8
Na sina funguo za gate
Tena mathe atanichase
Mmmh mmh, na jua itaniua
Me nina ngozi soft nikitoka nitaungua
Heri kukaa kwa nyumba jirani hatanijua
Sinanga ata mdem, nikitaka mi hununua
Ka si emergency manze mi usinicall
The audacity ya kuniita ati twende form
Na napata umeacha ka 10 missed calls
We ni enemy of progress
Buda natry kureform, form?
So niko busy ka si biz unani call tuongee?
Niko easy kejani labda unilipe nitokee
We niite chizi but sikuizi heri nikaokote
Alafu maisa nipige wera ndo atleast niomoke
Eeeh…(Walai sita make)
Niko busy maybe hio next day
Mmm mmh (Walai sita make)
Ningekam but jua huni affect
Mmm mmh (Walai sita make)
Niko busy maybe hio next day
Mmm mmh (Walai sita make)
Walai, me jua huni affect