Shiro Remix Lyrics: Kappy Ft. Kushman, Trio Mio and Gody Tennor
Check out “Shiro Remix” lyrics by Kappy featuring Kushman, Trio Mio, and Gody Tennor on Kelxfy. The song talks about a beautiful, rich Kenyan girl called “Shiro”.
Shiro Remix Lyrics
Hello, Shiro, fanya aje (Eeh)
Shiro, tuma kwa hii namba
We tuma tu kwa hii namba
Si unajua vile si hufanya
Nilifanya shiru akuje kwangu
Ata kaa bado chali yake ni donga
Nabambika na stick akipatiwa imejichonga
Nashangaa izo ni gani alipatiwa hajai ona
Yuskizia vizii nikimueka na mabendover
Naguzaguza jegi githinyaku nikigonga
Inabaki mi ni champe Shiro ushanisoma
Bana ninafanya babygirl akue sponsor
Mi humpatia ndizi mara tatu kaa mgonjwa
Shiru ananicall tupatane saa moja
Amenipikia fity keroma na Johnnie walker
Mi niko kwa jeans leather jacko na topper
Chini ni marubbo Shiro hapendi fosa
Luku ni safi kondiko inacheza kwa toja
Najuanga ni shughuli before tuanze kubonga
Rowesanyoro mi nathugumira kwa sofa
Manduru zinatoka aaah
Shiro ana doh, Shiro ananisponsor
Shiro ana doh, Shiro ananisponsor
Shiro ana doh, Shiro ananisponsor
Shiro anapendanga venye mi namchota
Tulijuana na Shiro Dunda
Kuna matha alikuja akanishow “naeza kusunda?”
Eeh nitafute Runda naitwa Shiro
But usikuje leo, leo niko na mashiro
Kupenda mtu hajazeeka is all we know
Wazee wako na pesa old is gold
Nimepata sponsor staki kuteseka
Tangaza kwa soko this guy is gone
Hapa nimepata green pasture
Hata ka ni kisima, wee nazama
Paka ni mzee lakini vile inakunywa maziwa
Weee
Mi humuita sugar, Shiro my mummy
The way she loves me, loves me, loves me
Mi humuita sugar, Shiro my mummy
The way she loves me, loves me
The way she loves me, loves me, loves me
Shiro ana doh, Shiro ananisponsor
Shiro ana doh, Shiro ananisponsor
Shiro ana doh, Shiro ananisponsor
Shiro anapendanga venye mi namchota
Cheki anafanana na Nandy
Ananiitanga daddy
Macho juu ya amani
Na hajazi kwachu wathii
Shiro anadoh kadem kabombe kana mahitaji
Na ni m-expensive kana ganji ye hunikatisha maji
Kam ninini, ile kitu unapendaga nakuiwhine..
Nitakupea namba tisa, kama mat za Eastleigh
Kanajibu kila kitu kama ChatGPT
Nakamunch CBD
Aaah, Shiro ana doh
Shiro ananisponsor
Shiro tuma kwa pochi
Niko na kiraka inagonjwa
Itamezwa ukituma direct kwa MPESA
Shiro ni doba zangu anarowesa
(Trio Mio)
Shiro ana doh, Shiro ananisponsor
Shiro ana doh, Shiro ananisponsor
Shiro ana doh, Shiro ananisponsor
Shiro anapendanga vile mi namchota
Shiro alininoki juu ya lugha
Nilimsuka 1,2,3 akashtuka
Aah, kamenichanganya medulla
Nashindwa ni msapere na kamebeba dhudha
Aki Shiro we ni wa uradi
Kienyeji wangu we ni mali safi
We ni wa Kilimani na vile unakaa mlami
Bad gyal Shiro unapenda dhambi
Aaah amenishow nisistress
Akanishow “siwezi rudi kwa ex”
Lightskin ama umetoka US?
Kanapenda vitu safi ye hunipatia head
Niulize? Kuna haja nitafute mumama
Niulize? Ukipewa vizuri bado unahanya
Haiwezii
Shiro amenirank juu ya stick
Shiro anapendaga akimess kwa bedsheet
Ati juu nina bojongo inachimbaga fiti
Bonjongo iko kazi kwa punani chini
Aki ya nani hujaiona
Bojongo imekula mkombero na nduma
Ongeza supu njoti mi nakula
Shiro, Shiro anapendaga yangu lolo
Shiro anapendaga vitu nono
Tangu akule yangu hataki tena za mamono
Ye hudhigitha masonko wanaleta doh kwa mbosho
Shiro ana doh, Shiro ananisponsor
Shiro ana doh, Shiro ananisponsor
Shiro ana doh, Shiro ananisponsor
Shiro anapendanga venye mi namchota