City Boyz ft. Maqavela – Dar Burn (Durban) Lyrics
Check out “Dar Burn (Durban)” lyrics City Boyz featuring Maqavela on Kelxfy.
Dar Burn (Durban) Lyrics
CityBoyz Maqavela
Mangwakaaa
Hiki kidurban ushawai kiskia
Ka we ni fala unaweza jo zimia
Anateta sio koro
Acha basi niwashashe ki goro
Hizi ni mamdihe, hizi ni mamdihe
Ka we ni fala utapata masahibu
Manyasi unavutaje, manyasi unavutaje
Na Elchapo ako mainade
Hiki kidurban ushawai kiskia
Ka we ni fala unaweza jo zimia
Anateta sio koro
Acha basi niwashashe ki goro
Hizi ni mamdihe, hizi ni mamdihe
Ka we ni fala utapata masahibu
Manyasi unavutaje, manyasi unavutaje
Na Elchapo ako mainade
Cheki girl kuna venye unanibamba
Kam area nikushow maisha London
Ukule Pizza na masnacks ka unataka
Upige picha ka imesnap mi nitalike fast
Papa smurf area yangu staki tafash
Nikubad dunga Clarks am a badman
Kwenye skirt that ass you know de answer
Gyal you smart #umenimada
Nilikuwa nataka kuwasha shasha
Ju niko mangwaka walai zimeninyaka
Niite Maqa fully nyanya
Fully armoured my guy tumejichaka
Mi ndio pastor hii kanisa naipanga
Rap mastar kwa booth mi huwachanga
Mi ndio pastor hii kanisa naipanga
Rap mastar kwa booth mi huwachanga
Hiki kidurban ushawai kiskia
Ka we ni fala unaweza jo zimia
Anateta sio koro
Acha basi niwashashe ki goro
Hizi ni mamdihe, hizi ni mamdihe
Ka we ni fala utapata masahibu
Manyasi unavutaje, manyasi unavutaje
Na Elchapo ako mainade
Ni ki orange ki kush
Kimutas ka juice
After umekitise ai hauhitaji mashuksh
Zimekanashi videad tunamedi na ma Christina Shush
Jing imelipuka iko Kigali
Na mamonzo kwa umbali
Juu ya Durban tunafly kama dush
Brathe isidim ikidim hautapenda
Ikidim utaenda
Nina date na Maryjane 420 kwa calendar
Niko broke but when it comes to her mi ni spender
Tutatise relax, kua mless
Na roll nacop na bless
Inanipunguzia stress
Tunaziskuma adi mesti
Mangwaka ndobestie
East mpaka Westie tunaseti
Masensiminaa
Hiki kidurban ushawai kiskia
Ka we ni fala unaweza jo zimia
Anateta sio koro
Acha basi niwashashe ki goro
Hizi ni mamdihe, hizi ni mamdihe
Ka we ni fala utapata masahibu
Manyasi unavutaje, manyasi unavutaje
Na Elchapo ako mainade
Nangam rada nisisafishwe
Nakaa rada nisikimbishwe sidai
Riba za wasoro
Morning gloey nafaa niiskie
Kabla dishi nipulizie mali safi kigoro
Simu airplane mode na niko high kama ndege
Mali ni safi siwezi simama one leggeh
Si ka choki nikimedi siwezi act kama mbwege
But ikiwaka in public niko rada ya manjege
Niko rada ya ma oink oink
Napiga marashi juu ya moshi
Juu sidai kulink na mafeds
Ni renango tunaingia zabe zote mjini
Adi area mali inapandwa na ultra violet leds
Eeh ni badman chilli aka K9
Narep CBD but gava credentials ni TMK
Dropzone nimelink na plug wangu
Anatoa mali kwa mbosho
Tukisonga juu ya senke
Tunatoka kehuti living life on a fast lane
Ju ya zile mavitu tuko nazo kwa mbosho
Ni kupunguza paranoia tunapiga right turn nne
Kuloose any loose ends kutumia maorosho
Wasoro hawabambiki mayut tukilive our life
Vile tulichapiwa na Rihana na T.I
Kenya tunahepa mabeasts ni ka movie ya CSI
DCI wnaahandana kama FBI
Ju hanaku rahisi
Nangos ziumangwa
Chunga doh yako pia Unaweza oshwa na mascam
Na bado tunatoanishwa na ma madam
Ukipatana na pigs watadai chai tho ni haram
And nothing but a G thang, habari ndo hiyo
Watu hudai nimeficha sana simu iko DND
Niite Willy Wonka niko na chocolate eddibles
Bado natengeneza merch ya CBD
Ni CBD