Sewersydaa – Cry Baby Lyrics
Read “Cry Baby” lyrics by Sewersydaa on Kelxfy. “Cry Baby” is off Sewersydaa’s new album, “Mauru Unit”.
Cry Baby Lyrics
Cry baby, cry baby, cry baby…
Cry baby kulialia sipendi
Beba kila kitu impluse spending
Leaflets tuko za ki Eastern sailing
Inafaa ukuwe tu stress free
Cry baby kulialia sipendi
Beba kila kitu impluse spending
Leaflets tuko za ki Eastern sailing
Inafaa ukuwe tu stress free
Naambiwa ati nitumie itanizoea
Mara nikitumia vibaya inapotea
Kama naishuki kwa air
Ile manna ka ulizaliwa nayo
Uko lucky uliponea
Sa nko marke hapo Sunday
Nangoja white bag ijazwe
Hanaku tuki Msape
Niko za tuonane shoke
Chukua hata na njugu
Niaje leo Njogu akoke
Akiwa na hasira
Always huwaga teva imuondokee
Usishike mathongo
Ukinyimwa kitu unaishia
Usianze bargain
Na hauna kakitu ukidhani utaskizwa
Hata unaeza ingizwa
Kwanza ukijiona mnisa
Mwanaume utalilia choo
Tukufananishe na sister
Tumecome na movie
Ya last year ilikuwa teaser
TZ tumecome visit is there need for a VISA?
Ni kaa neighbour anabisha
Nikamchungulia na fish eye
Too much light outside naeza pata seizure
Everyday, ni ganji nakimbiza
4:24 sitambuangi giza
In every way bora tu inalipa
Interpol naskia mnanitafuta
Everyday, ni ganji nakimbiza
4:24 sitambuangi giza
In every way bora tu inalipa
Interpol naskia mnanitafuta
Cry baby kulialia sipendi
Beba kila kitu impluse spending
Leaflets tuko za ki Eastern sailing
Inafaa ukuwe tu stress free
Cry baby kulialia sipendi
Beba kila kitu impluse spending
Leaflets tuko za ki Eastern sailing
Inafaa ukuwe tu stress free
One Comment