Sewersydaa – C4/Usiforce Lyrics
Check out “C4/Usiforce” lyrics by Wakadinali member Sewersydaa on Kelxfy. “C4/Usiforce” is off Sewersydaa’s new album “Mauru Unit”.
“C4/Usiforce” Lyrics
(Big Beats Afriq)
Nasound vibaya kama guitar imekatika string
Watu wamewaka mbaya
Hadi wanakaa walking Christmas tree
Tuko tired of hii shit, doci pia ni msick
Lala nayo na hio v ni ka unahepa police
Okay, I got four fuckin’ phones
Na ukinicall niko mteja
Scratch hadi bones unadeal na mateja
Stone after stone ni kaa nabuild kakeja
Mi ni ka Don Corleone ukinitry hautapenda
Vituko juu ya vitu tuko hadi tunajipata Tuko
Soma kaa bookworm, hii life haina coupon
Ka ina ganji tupo na kaa haina ganji hatuko
Wana mikono refu hakuna sleeve inawatoshea
Kuna biz naotea, ni kudingling ngojea
Niko on my way up na wana stare za kunibondea
Wathii kuna monclair
Mimosa so ka unapitia from ocha
Make sure you stop there
Yoh, vitu hutoka kwa C1 yangu, ni ma-C4
Nani wanaingia kwa stu bila hata four
Ka umeshikwa mi siko usikubali ku-talk
Toka hapa unakaa umeanza ku-force
Vitu hutoka kwa C1 yangu, ni ma-C4
Nani wanaingia kwa stu bila hata four
Ka umeshikwa mi siko usikubali ku-talk
Toka hapa unakaa umeanza ku-force
Ukinicross, unagenya
Ushaanza ku cross-dress, umekuwa Semenya
Monday ni mbwenya, Mkadinali by tenure
Hamnitaki mi menace, kuforce tuliachia Terence
Tunarap hii si tennis, kupost post ya nini?
Crap sipendi, ku-joke bro si mimi
Tunacheza golf kwa court ya Bake
Na mafans ni wa cricket
System haitaki tu-picket
Kwa ujinga usiniingize
Wikendi inaanza Wednesday
Team building with my teammates
Ka kuna siku nataka ifike, tirries Tuesday
Okay so back to today
Nauliza who is dealing with this bitch
Who’s dealing with this shit?
Adulthood ni scam, nani aliniambia nikam
Rong rende ndio stamp, iadisie kwa amp
Acha tu za ku-run tusikuwe na za ki-cunt
Unajua nini inafanyakinga kwa watu wana-rat
Yoh, vitu hutoka kwa C1 yangu, ni ma-C4
Nani wanaingia kwa stu bila hata four
Ka umeshikwa mi siko usikubali ku-talk
Toka hapa unakaa umeanza ku-force
Vitu hutoka kwa C1 yangu, ni ma-C4
Nani wanaingia kwa stu bila hata four
Ka umeshikwa mi siko usikubali ku-talk
Toka hapa unakaa umeanza ku-force
Vitu hutoka kwa C1 yangu, ni ma-C4
Nani wanaingia kwa stu bila hata four
Ka umeshikwa mi siko usikubali ku-talk
Toka hapa unakaa umeanza ku-force
Vitu hutoka kwa C1 yangu, ni ma-C4
Nani wanaingia kwa stu bila hata four
Ka umeshikwa mi siko usikubali ku-talk
Toka hapa unakaa umeanza ku-force