Sewersydaa – Kijana Good Job Lyrics ft. Domani Munga
Read “Kijana Good Job” lyrics by Wakadinali members Sewersydaa and Domani Munga on Kelxfy. “Kijana Good Job” is off Sewersydaa’s new album, “Mauru Unit”.
Kijana Good Job Lyrics
Hamna haja nikufight
Hii akili ndo ina muscle
Beast from the East ni kuhustle
Atleast najua,
Hii relationship is not a transaction
Weee! weeeh! Unaezarokotwa kihasho
Hio ukiche-le, mbona ni delay?
Enemies wangu hawawezangi nibetray
We! Juu alidai kunitumia nude
Nikamshow huyo mshore kula vako
Vile punyeto inakaanga heri matako
Ati matako, huh? Ebu repeat
Walinyuria katikati yet walikuwa wakiretreat
Unatembeaje usiku,
Masaa za kazi masaa za dracula
Nimepiga biz flani mochatha kadhaa Maragua
Elections za ku rig G
Ni mimi Rigathi asha Gachagua
Achana na tumbler, uh
Domani wa maganji washaga tambua
Nimerauka alfajiri na mavitu ni za kitajiri
Nimerauka alfajiri na mavitu ni za kitajiri
Nimerauka alfajiri na mavitu ni za kitajiri
Sipangwingwi
Kijana good job, na siimbangi
Kama tahira hawakutahiri
Kijana good job, kijana good job
Kijana good job, kijana good job
Kijana good job
Nimerauka alfajiri na mavitu ni za kitajiri
Nimerauka alfajiri na mavitu ni za kitajiri
Nasanif kidurban nakiwasha saa ya baridi
Nafunga turban, Jah know na rock ma gidi
Sibebi shada, leo nakaa ka gaidi
Ni krisi zinalipuka baruti mangwariti
Nikiingia ilikuwa rahisi
Sai niko ndani into deep
Busy kwa hizi streets
Ukinicall sikushikii
Huku tunatafuta, sisi si waizi
Age ikienda utarealize kumbe hawananga agenda
Coasto mvua ishajafanya mamiji kwenda
Miaka ni ka kenda, voter ndio wanakemba
Gava inalaumu KENHA, committee ni ya ma experts
Yut washadespare, vitu tunatoa stu’ zinathreaten kuanza coup
Hii si kizazi ya mafools, acha ka umelemewa
Mtego ya panya inashika kitu yeyote iko area
State capture we dere, utatupata