Sewersydaa – Ki Di’ng Lyrics ft. Ajay
Check out “Ki Di’ng” lyrics by Wakadinali artist Sewersydaa featuring Buruklyn Boyz artist Ajay on Kelxfy. “Ki Di’ng” is off Sewersydaa’s new album “Mauru Unit”.
“Ki Di’ng” Lyrics
Braah! Mauru Unit, Man a Driller yoh!
Ukianza kumblein, utaingiwa ki di’ng
Hatuna wa kublame, tulijiingiza sisi
Huwezi maintain, niaje, niaje buda uko simping
Nasafisha West, nasafirisha East
East, East, East, East, East…
Ukianza kumblein, utaingiwa ki di’ng
Hatuna wa kublame, tulijiingiza sisi
Huwezi maintain, niaje, niaje buda uko simping
Nasafisha West, nasafirisha East
East, East, East, East, East…
Najaza nikitoa hio ndio routine
Sa nauliza ka ntajatoboa
Unapata, tukis ikiisha
Shoke nawaamkia hakuna kugoa goa
Kohoa ka una deni yangu
We ukicheki back manyu (Halloo)
Mi naona vile ntapora mpoa
Ukora hung’oa mara ya anzakwa akimarwa
Inda ni ngumu kutifu wapoa
Child soldiers bado wako field
Waniaju wanalima mugunda
Watu wangu wa West na East
Tuko far but tuko kimoja
White collar sahii kwa street
Wanadai system haiwatakii
Na hii solar with no shilling
Hata ukidai finje sikupatii
Siezi wablame kwa nini
Mliamua ku-vote na feelings
Wakibonga msiamini
Wanaeza do anything juu ya kiti
Ting ting ni ya nini?
Na siezi hepa i’m not guilty
Beast East ni ati
Na akikaa vibaya akule ki di’ng
Ukianza kumblein, utaingiwa ki di’ng
Hatuna wa kublame, tulijiingiza sisi
Huwezi maintain, niaje, niaje buda uko simping
Nasafisha West, nasafirisha East
East, East, East, East, East…
Ukianza kumblein, utaingiwa ki di’ng
Hatuna wa kublame, tulijiingiza sisi
Huwezi maintain, niaje, niaje buda uko simping
Nasafisha West, nasafirisha East
East, East, East, East, East…
[Ajay]
Nilijua ngwai ni tamu
Joh nikiwa sixteen
Simaanishi mwito
Nikisema nani alipigwa na ki di’ng
Huku kwetu tumejipin
Mali joh tif tif
Tunaleta smoke
Si si walevi hatu sip sip
Niko stoned kushinda Earth Bender
Mary Jane huskii nampenda
Ye’ na mkoro hawajawai nitenda
Kuna venye ana-coolisha temper
Huku East anapenda ma head bud
Anakulwanga tu na marenpa
Huku East anapenda ma head bud
Anakulwanga tu na marenpa
Uh, tuko West tumesafisha East
Ama tutasafishwa na ma-Beast
Juu vitu umefa siezi sema kwa beat
Acha marapper waendelee kuji-snitch
Ni mafood nawa-serve kwa streets
Ka hauna lean get it chief from slim
Ni mafood nawa-serve kwa streets
Ka hauna lean get it chief from slim