Nyashinski – Silencer Lyrics

Check out “Silencer” lyrics by Nyashinki on Kelxfy. “Silencer” is a diss track directed to Nyashinki’s former producer Cedo. Cedo is best known to produce most Nyashinki’s popular tracks.
Silencer Lyrics
Ngojeni, ni ash ni medi
Relax niwafanye wa-sound ridiculous
Mshaharibu waks, siezi watrust
Nyi ni ka Sunday hamnanga class
Mi siendi loss, acha nicheke
Unaongea ni ka we ni boss
Unadai kulipwa ni ka we
Ndio boss na unaniitanga “munene”
Hamjui nani mmecross
Ask your sources nani ndio sos
Hii ni ka breakfast nyote ni ma-toast
Sausage samos’ hamna asante
Cash cow ka hatulipani
Ma agent wanaendeshaje ma Porsche
Kimbia kwa blogs
Enda ukatafute public support ubuy nayo mkate
Circle ni small
Wa-real ni wa few wengi ni ma actor
Nimeskia iko mtu wa mkono
Analia ati anataka kulipwa kama contractor
Hao ni ma-Cancer!!
Mfereji imefungwa kama hio chapter
Acha sa tuone nani atakukanja
Vile hapa ulikuwa unakanjwa
Unakula buzz ni ka umedandiwa
Tunaongelea character si hata maziwa
Lines napiga unaona tu red
Kalilie masoldier unavamiwa, wow
Ni stupid ku-argue na fools
So siwezi argue na fool
Nakaanga cool, naona ma-snake—
Wameona cheque wakaanza ku-drool
Ni ka wako ma shroom, najua magoons
Naangusha chwani unaona plateau
Nimekuja mtaani na wako na tools
(Piu! piu! piu! piu!)
Chinchilla leo niko kazi
Na sina patience ya fitina
Whiskey na mimi na Black
Fuck hawa madwanzi!!
Hao ni mambilikimo
Wamesimama kwa shoulder za shark
Tamaa ya ganji inafanya BP
Inapanda wivu inakupea heart attack
Wanaomba maji na hata sijamaliza kuwapepeta
Hii ni counter attack
Ati mnatry?
Ati kuniharibia image?
Fuck hio image, tuongee ukweli
Naongea mavi, unanusa sewage
Hatufanani, hatutoshani
Unalisha family nalisha village
Nakuwanga boss unakuwanga worker
Media ikipita hio ndo leakage
Chungana na ras, gold ndio color kwa glass
Madranya wananiona wanablush
Drip ya hao mafala inaclash
Shin ndo jina mafan wanatrust
Udaku ni ufala, heshima ni must
Gossip ni ufala, heshima ni must
Na ukipima nacrash
Unakula buzz ni ka umedandiwa
Tunaongelea character si hata maziwa
Lines napiga unaona tu red
Kalilie masoldier unavamiwa
Wow! Unavamiwa (Wow!)