Sewersydaa – Ukweli Lyrics
Check out “Ukweli” lyrics by Sewersydaa on Kelxfy. “Ukweli” is off Sewersydaa’s new album, “Mauru Unit”.
Ukweli Lyrics
Yoh yoh! Man a Driller
Si tuna talent tuliacha kuiba
Crime hai-pay my nigga only that utazikwa
Au sio?
(Ayo Chino, you again)
Ukweli ukweli ukweli
Unafaa ujue haijawai uzanga gazeti (Haijawai)
Neti ju aliseti, kuna venye alipeanwa na pedi
R.I.P (R.I.P) kina Teddy
Daily wali-ball ni ka wikendi
Hessy si ungemfungulia kesi
Hessy si ungemfungulia kesi
Hessy si ungemfungulia kesi
Hessy si ungemfungulia kesi
Eeh nimetravel (Umeenda?)
Narudi leo ndio niende tena Kitale
Heshima ni ya Caleb
Sijui alitoa wapi courage (Tena)
Ya kuibia masake na cartridge (Wah! wah!)
Na tulidhaningi wizi kwake ni past tense
Nina lyrics nani ako na market
Naziuzanga flash same kwa CD na cassette
Mbona uko nayo na unataka ni-suffer
Hizi ndio matarehe ka uko nayo nikanje
Busy nikitafuta mkate we una-expect nikate (Yoh! yoh!)
Niache (Yoh! yoh!)
Maziwa tu ya packet rarua juu ya pake
Secure tu the package mi staki kuwa target
Kings na hamna palace ati mnashinda zabe
Street hata ham-surface hamjui kupiga rampage
Ukweli ukweli ukweli
Unafaa ujue haijawai uzanga gazeti (Haijawai)
Neti ju aliseti, kuna venye alipeanwa na pedi
R.I.P (R.I.P) kina Teddy, daily wali-ball ni ka wikendi
Hessy si ungemfungulia kesi
Hessy si ungemfungulia kesi
Yoh, it’s not easy out here (It’s not)
Jana street hauskii kuna raiya iliumia (Pa! pa! pa!)
Kuwa busy my dear, ka hauna namna utajipata na mwania
Yoh, hakuna mtu hupenda itos ikilia
Akiishow akiicock usitry kukwaria (Usiwai)
Mob ties kama mafia kanyagia crime life bro usitry kuweka gear
Prime time 9 naskia tu ma siren
Gunshot live wanatrace watu ka nne
For more than karne inakaa leo ndio arubaine
Get driver ni fame na KAZ ndio number plate
Tuzied pan di waist sanse anataka kuintercept
Ni mafake kuexchange waka-cookiwa kwa pavement
Payback is a bitch system huwanga na intel
Hauskii walishonwa na hosi
Ikadai haichukuangi such
Ukweli ukweli ukweli
Unafaa ujue haijawai uzanga gazeti
Neti ju aliseti
Kuna venye alipeanwa na pedi
R.I.P (R.I.P) kina Teddy
Daily wali-ball ni ka wikendi
Hessy si ungemfungulia kesi
Hessy si ungemfungulia kesi
Yoh busy ukitafta ganji (Hao mambleina)
We unacome na utiaji (Unakaamga mbalina)
Busy nkitafuta ganji (We ni rong rende)
We unacome na utiaji
Busy nkitafuta ganji (Wacha crime)
We unacome na utiaji (Wacha crime)
Wacha crimes