Sosa ft. YBW Smith – Find Another One Lyrics
Read “Find Another One” lyrics by Sosa Thee Prodigy featuring YBW Smith on Kelxfy.
Find Another One Lyrics
Wesley anakuwanga na mabeats mazza mazza
Worldboss siku zote mi na –
Mpoa anafanana na malkia
Ayela ni kidosho itabaki umeaminia
Goshodo inanipandisha hisia
Mpoa ukinitingulia pongi naingia
Mpoa anafanana na malkia
Ayela ni kidosho itabaki umeaminia
Goshodo inanipandisha hisia
Mpoa ukinitingulia pongi naingia
Napenda hio design ananishikisha jegi nisese
Leo mpoa ni kama umejam we nipashe
Nikituma messo ashasimp si mchache
6 tushalinky nishampin kwake
Lonely huku juu nishageuka Asake
Lonely bila bunda aende akasake
Ai pongi ashanitoka juu sina pake
Pongi ashanitoka juu sina pake
Nikamshow, find another one
You can find another one
Mpoa si ni pepo, genie
Juu mpaka chini
Ayela kwa kitovu na mapua nampini
Unaezadhani dready amefuga
Kumbe ni manyoka
Mpoa ameficha chini ya benie
Mpoa anafanana na malkia
Ayela ni kidosho itabaki umeaminia
Goshodo inanipandisha hisia
Mpoa ukinitingulia pongi naingia
Mpoa anafanana na malkia
Ayela ni kidosho itabaki umeaminia
Goshodo inanipandisha hisia
Mpoa ukinitingulia pongi naingia
Mpoa amefanana na malkia
Dem amejibeba ndo mi naaminia
Home ni Kite na si ukuje uone place
Hii pongi imenitaja tupatane kwake 10
Find another one nilifika kwake 8
Nawasha zile bad, no face no case
Amepewanbila bila place
Anazimia the place
Kam tuwatch movie tukitulia kwa bed
Aii mpoa anafanana na malkia
Akieza kupatia kuna vitu utalipia
Mpoa anafanana na malkia
Nishamwaga ndani ni kukwama ka mkia
Kidosho wake best bado tunamkatia
Najua inamkatsia na bado ni malkia
Ayela ni kidosho inabaki umeaminia
Mpoa malkia anataka kuitwa dear
Mpoa anafanana na malkia
Ayela ni kidosho itabaki umeaminia
Goshodo inanipandisha hisia
Mpoa ukinitingulia pongi naingia (Walai)
Wesley anakuwanga na mabeats mazza mazza
Worldboss siku zote, mi nawakilisha Gaza