Tommy Flavour – Numero Uno Lyrics ft Tanasha Donna
Tanzanian artist Tommy Flavour new song “Numero Uno” lyrics featuring Kenyan artist Tanasha Donna. Numero Uno means “number one.”
Numero Uno Lyrics
Nikikuona napatwa mawenge
Ukinigusa nakuwa ka bwege
Mkali umenikata kiwembe
Aaahuwaaa
Kwengine kwa nani niende
Usisite utanilisha usembe sio huniamini
Baby
Acha hao wanaodharau
Eti iko siku nitakusahau
Nia yao uniteme, eti nsikupende
We wangu angalau umewapiga bao
Najihisi sugar baby shida zako nizibebe
You are numero uno, You are numero uno
You are numero uno, You are numero uno
Oooh number one
Numero uno parasepre
mimi na wewe baby milele
I will never let you down
even when you are not around
I will always keep it grounded
Baby! Sweet melanin my chocolate
Adrenaline never genuine
Right for me they’re all relevant
I want to apeal copy yangu
Sogea karibu yangu baby, uwe na mimi
kama umeme nipe energy, nipe energy
Wacha wanaodharau
Eti siku nitakusahau
Nia yao unitemeee, eti nisikupende
Wewe wangu angalau, umewapiga bao
Najihisi sugar baby
Shida zako nizibebe
You are numero uno
You are numero uno
Number one
Nisipokupenda wewe, nitampenda nani
Tulipofika Mungu, wala hatukudhani
Sishakuwa tayari kukupenda mamy mamy
Unanimalizaga vyako vitu flani
Unanitosha wengi wa kazi gani
Utamini unizidishie dhamani dhamani