Toxic Lyrikali – Thugnificent Lyrics
Check out “Thugnificent” lyrics by Toxic Lyrikali on Kelxfy.
Thugnificent Lyrics
MbokaDoba
Skiza, mboka mboka, mboka Doba
Design ya DVD namsundia CD
Mnachujwa ndani ya church
Ndo mwende mji-redeem
Na ukilalishia miss one time na delete
Na nikakuwa na shing, nitakushing utableed
Ukijaribu kutupeana chini ya maji
Mmmh skills ni za Navy Army
Haga biggy brown brown ni kama tuko Miami
Confused sasa nitafuata ya nani?
Keja ni double na tunaishi door 1 to 5
Si lazima stima ndo akam ati ndo akam tu-fight
Before uniombe collabo nadhani unajua price
Nimeku-mark ntakuangusha on sight
Funga belt na cannabis, ready for a fight
Next up na-land kwa satelitte
Piece of cake na bado nachukua big bite
Black night cause
I’m a magnificent thug, Thugnificent!
Tuko na wings no horns, malificent
Nanuka war, do like my scent
Perfect thugging!
I’m a magnificent thug, Thugnificent!
Tuko na wings no horns, malificent
Nanuka war, do like my scent
Perfect thugging!
Ati badman I no want attention
Elevate mandem never fall
Siezi sieze hadi nifike destination
Niko na kingwai siko lonely at the top
Ati badman I no want attention
Elevate mandem never fall
Siezi sieze hadi nifike destination
Niko na kingwai siko lonely at the top
Kama Nicholas nam-cage
Niko na balls ama guts instead
We sio manly uko na balls size ya grapes
Haga sio size pia tunaangalia shape
One step nasema grace
Mboka Doba man fuck the fame
Kama Abednego Mnare niko on flame
Ukinipata nacheat, naeza explain
Kama si, mi sirogi, mi sirogi (Ziiii!)
Mi na mbogi, hutuoni (Ziii!)
Usinichachishie nitakuweka kofi
Mi hudungia kabuti nikipelekwa koti
Mi storoki, mi storoki (Ziii!)
Nadeal nayo one man daily jioni
Sina kioo kuwa badman mi sijioni
I’m a magnificent thug, Thugnificent!
Tuko na wings no horns, malificent
Nanuka war, do like my scent
Perfect thugging!
I’m a magnificent thug, Thugnificent!
Tuko na wings no horns, malificent
Nanuka war, do like my scent
Perfect thugging!