Toxic Lyrikali – Long Story Lyrics
Read “Long Story” lyrics by Toxic Lyrikali on Kelxfy. Toxic Lyrikali is one of the fastest-rising Kenyan artist hailing from Kayole, Eastlands Nairobi. The song “Long Story” is very special to Toxic Lyrikali, it marks as his debut song in his musical career in 2022 also establishing his musical brand “Mboka Doba” which means music business.
Long Story Lyrics
(Mboka Doba)
Makelele kwani nani anabisha
Kwenda kucheki landi na vifuli sita
Ananishow keja anadai kutinga
Nigrab kenye nataka nisafishe nkimaliza
Aii, si tulielewana Monday hapana
Akili nimebadilisha
We safisha beshte yangu anadai kuingia
Nikaenda kwa jirani yangu ye hupenda beer
Akaniserve tiabe though pia ako chupri
After dakika nane nikaenda kutafta shughli
Kupatana na beshte akanishow twende hivi
Tukiwa njiani, morio naona mbogi
Naskia huu boy ndo alinitoka tenje
Na ju wako mbogi ni trrr toka teke
Rudia kikosi tutrace hao masenje
Walinigeuzia so tuliwatoka matenje
Tushawamocho nimepunguza mawazo
Sina doh ya ng’ondo sa nikuma vako
Ndo nimalize stress nikaingia studio
Nikapatana na Chloe na VK kwa studio
Stivo akarecord doba inaenda “Walai ananidai”
Ilitubamba tukaenda home 5
Kufika area tena ni stress walai
Sina doh so kenye akili inagonga ni crime
Natafuta kwa kulala na beshte yangu headbad
(Beshte yangu headbad)
Before nienda kudoz tuingie mission moja wagwan
Tukatrace mhesh flani hukua paper
Mansion bwaku jo unaeza potea
Ndo anatoka wera so ni kumtegea
Gate wakifungua pole pole ingia
Ju kuna giza hawakutuskia
Akaona njia iko wapi kwa dirisha
Hao sisi ingia ni kuhepa familia
Si tunataka ile safe husundaga mamia
Wale maboy tulitrace walitufuata
Ju tuko on si maboy waliogopa
So ikabidi waende wakataje backup
Usidhani ni mbogi imagine ni mabang’a
Walisnitch tukiwa scene na ni sin
Tena ni trr, toka teke
Mansion ni biggy tafuta exit yoyote
Tension imejaa juu ya siren huko nje
Roho ya kwangu inadunga dudu
Masanse pia wako nyuma, hawatuachi si uduu
Kidogo tena gunshot one two
Kugeuka naona beshte yangu
Amelazwa kwa pool ya dibla
Tena stress zimenishika
Biz imechomeka nasaka kwa kujificha
Wakanikosa ikabidi wameingia
Kujisundua rada naangalia
Nikatoa mask nikaichomea kwa njia
Na hio riba mi nikanyamazia
Ju mi ni ndume so hakuna kulia
Inabidi kilio ndani joh nimekazia
Nikakumbuka na nikafikiria
Nikaenda kudoz kwa beshte joh wa kanisa
After that tabia nikabadilisha
Sa mboka ya doba ndo nadai kuingia
Ni long story na ni ngori, skiza stori